Jamani hivi hili la kubadili chuo ulichopangwa na TCU linawezekana kweli! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani hivi hili la kubadili chuo ulichopangwa na TCU linawezekana kweli!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by talentboy, Sep 11, 2011.

1. talentboy

talentboy JF-Expert Member

#1
Sep 11, 2011
Joined: Jul 8, 2011
Messages: 1,625
Likes Received: 1,141
Trophy Points: 280
wana jf nlkuwa naomba uhakika juu ya hili suala,kama kuna mtu ana info za kutosha naomba anijuze,coz nataka kuchange chuo frm udom to udsm.Naomba msaada wenu wakuu.Nawasilisha.,bt tafadhali naomba habari za uhakika.

2. Perry

Perry JF-Expert Member

#2
Sep 11, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280
Matokeo yako yakoje kwanza,na unataka kuja udsm kwa coz gan?

3. talentboy

talentboy JF-Expert Member

#3
Sep 11, 2011
Joined: Jul 8, 2011
Messages: 1,625
Likes Received: 1,141
Trophy Points: 280

Mi nna div 1 ya point 9 mkuu,na kozi nnayoitaka hapo udsm ni same na niliyopangiwa udom ambayo ni LLB.kama kuna msaada wowote ambao waweza kunipa tusaidiane tafadhali.

4. talentboy

talentboy JF-Expert Member

#4
Sep 11, 2011
Joined: Jul 8, 2011
Messages: 1,625
Likes Received: 1,141
Trophy Points: 280
Wadau mupo wapi?tuwekane sawa ktk haka kaishu jamani!

5. mikatabafeki

mikatabafeki JF-Expert Member

#5
Sep 11, 2011
Joined: Dec 29, 2010
Messages: 12,837
Likes Received: 2,101
Trophy Points: 280
mkuu div 1-9 LLB udsm huwezi pata labda Tumaini University

6. Perry

Perry JF-Expert Member

#6
Sep 11, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280
Mkuu,kikwel kwa pts hzo udsm hupati Llb,jaribu mzumbe.

7. Perry

Perry JF-Expert Member

#7
Sep 11, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280

au ruka saut.

8. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#8
Sep 11, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,969
Likes Received: 2,963
Trophy Points: 280
Kwanini ulijaza chuo ambacho haukipendi?. Kuna vyuo ni simple sana kuhamia ila udsm sidhani.

9. Perry

Perry JF-Expert Member

#9
Sep 11, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280

hata udsm co pagumu ilimradi angekua amefksha points wanazoztaka!

10. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#10
Sep 11, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,969
Likes Received: 2,963
Trophy Points: 280

udsm sio rahisi kwasababu, huwa vyuo vina specific number of student per course.
Ili wakupokee ni lazma kuwe na upungufu. Wanafunzi wengi wanaoomba mlimani wanakuwa na vigezo, so kwa kiasi kikubwa mlimani wanafikia malengo yao. Ila kuna baadhi ya vyuo hawafikii malengo kutokana na idadi ya wanafunzi walioomba.

11. Perry

Perry JF-Expert Member

#11
Sep 11, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280

na vle vle kumbuka kuna wanao chaguliwa udsm wakahtaji kuhamia vyuo vingne au wengne huwa hawaji kabisa,so nafas nying znabaki wazi mkuu.

12. Wi-Fi

Wi-Fi JF-Expert Member

#12
Sep 11, 2011
Joined: Aug 30, 2011
Messages: 2,070
Likes Received: 748
Trophy Points: 280
nenda kaulize kama nafasi ipo mkuu, mimi kuna m2 namfaham kapata iyo LLB na anayo iyo point 9 + mkopo.. nenda jaribu bahati yako

13. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#13
Sep 12, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,969
Likes Received: 2,963
Trophy Points: 280

huwa ni rare case sana mwanafunzi kuchaguliwa udsm then akaamua kwenda chuo kingine. Labda kwa hii system mpya ya tcu sipo familiar nayo.

14. Ozee

Ozee Member

#14
Sep 12, 2011
Joined: May 11, 2011
Messages: 31
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Cdhan kama itawezekana cz tcu walisema kwa hii system mpya,haifai kubadilisha course au chuo ulichopangwa..

15. talentboy

talentboy JF-Expert Member

#15
Sep 12, 2011
Joined: Jul 8, 2011
Messages: 1,625
Likes Received: 1,141
Trophy Points: 280
duh!ngoma ngumu,ila jamani kama kuna mtu yupo karibu au kama anaweza kuwafikia hao jamaa wa udsm naomba aniulizie hz nafasi km zp ili kma zp nianze kufanya michakato mapema nijaribu bahati yangu.Mi niko nao mbali kdg(znz)au km kuna hotline zao ambazo munaweza kunipatia itakuwa poa pia.

16. talentboy

talentboy JF-Expert Member

#16
Sep 12, 2011
Joined: Jul 8, 2011
Messages: 1,625
Likes Received: 1,141
Trophy Points: 280

Poa mkuu ntajaribu kufanya ivo!

17. talentboy

talentboy JF-Expert Member

#17
Sep 12, 2011
Joined: Jul 8, 2011
Messages: 1,625
Likes Received: 1,141
Trophy Points: 280

Hili kwel linawezekana..sasa mkuu km kuna uwezo wa kuwafikia hao jamaa,naomba uniulzie hili suala ili nijue imekaaje

18. talentboy

talentboy JF-Expert Member

#18
Sep 12, 2011
Joined: Jul 8, 2011
Messages: 1,625
Likes Received: 1,141
Trophy Points: 280

Kuhusu hili la points sidhani kama ni tatizo sana maana kuna mpk wa div 2 na wamebebwa kama kawa!

19. talentboy

talentboy JF-Expert Member

#19
Sep 12, 2011
Joined: Jul 8, 2011
Messages: 1,625
Likes Received: 1,141
Trophy Points: 280

Unajua nn mkuu,mi my 1st choice ilkuwa ni algeria 2nd udsm,bt badaye nlipokuja kufungua akaunti yangu nikakuta algeria na udsm wamezifuta na kunibakishia prgrams 6 tu,si unajua tena mambo ya mitandao mkuu.

20. G_crisis

G_crisis JF-Expert Member

#20
Sep 12, 2011
Joined: Jun 19, 2011
Messages: 715
Likes Received: 62
Trophy Points: 45
Ishu nyingine una pesa ya kutosha??pesa ndo kila kitu!!

Loading...