MSAADA:jinsi ya kuhamisha mkopo kutoka chuo kimoja kwenda chengine.

talentboy

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
2,074
1,979
Hali zenu wanajf...nilikuwa naomba kujuzwa ni taratibu gani ambazo hufuatwa na mtu ambaye anataka kushift mkopo wake kutoka taasisi moja hadi nyingne.Kwa mwenye uzoefu au kujua kuhusu hili msaada wenu ni muhmu sana.Shukran

talentboy

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
2,074
1,979
Kwa nin unataka kufanya hvo?

Kuna jamaa yangu mmoja anataka kuhama chuo ambacho alichaguliwa pamoja nakuwekewa mkopo wake huko(muslim u.morogo)ila baada ya 2nd round tcu wamempanga kiu,so ameamua kuabandon mum na kwenda kiu,so alkuwa anatk kujuwa ni vp anaweza kushift mkopo wake frm mum to kiu?

Eshacky

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
962
242
Kwan hicho chuo si alichagua mwenyewe, na tukaambia utapokosa hik unapata kile, sa anataka kuleta masuala ya A level,na sidhan km kuna kitu kama hicho, akaushe tu, la sivyo atakosa kote.

Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,436
1,579
Hali zenu wanajf...nilikuwa naomba kujuzwa ni taratibu gani ambazo hufuatwa na mtu ambaye anataka kushift mkopo wake kutoka taasisi moja hadi nyingne.Kwa mwenye uzoefu au kujua kuhusu hili msaada wenu ni muhmu sana.Shukran

Sio 'chengine' ni kingine, wewE unasoma elimu ya juu bado kiswahili lugha yako hujui, kazi kuhamahama tu. Kaulize taratibu za kuhama hukohuko au unataka magendo?

talentboy

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
2,074
1,979

Sio 'chengine' ni kingine, wewE unasoma elimu ya juu bado kiswahili lugha yako hujui, kazi kuhamahama tu. Kaulize taratibu za kuhama hukohuko au unataka magendo?

Nikaulize wapi?na nashukuru pia kwa marekebisho yako.

talentboy

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
2,074
1,979
Kwan hicho chuo si alichagua mwenyewe, na tukaambia utapokosa hik unapata kile, sa anataka kuleta masuala ya A level,na sidhan km kuna kitu kama hicho, akaushe tu, la sivyo atakosa kote.

Mkuu huyu alipata chuo cha MUM Kupitia old way,coz hawa mum hawamo ktk mfumo wa cas kupitia tcu,so baada ya kupgwa chini ktk 1st rnd akaomba tena 2nd rnd na kuchaguliwa kiu by tcu,so mwenyewe amekuwa impressed sn na kiu kuliko mum,na ilihali mkopo wake umepangwa mum.nadhani umepata mwanga kidogo.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,019
1,760
Mkopo unahamishka,mwambie aende loans board mwenyewe, tena mwambie awah kabla pesa hazjaanza kupelekwa vyuon.

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,122
3,721
Kaka utaratibu siku hizi umebadilika kama unavyoona mtandao ndo unahusika,kwahiyo swala la kutaka kuhamisha mkopo kutoka chuo kimoja kwenda kingine litakuwa gumu,kwanza maelezo yako juu ya alivyochaguliwa chuo hayajaeleweka ebu mueleze akufafanulie vizuri maana huo mfumo sidhani kama hadi leo kupata vyuo viwili unawezekana.........

Ozzie

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
3,219
1,251
Aende loan board akawataarifu, na pia ile pesa ikipelekwa MMU asijaribu kwenda kuikwapua hata senti...

SURN

JF-Expert Member
Sep 5, 2011
319
36
asa mkopo alipataje wakati hakuchaguliwa na tcu kwa mara ya kwanza.na bod ya mikopo ilikuwa inatoa mkopo kwa majina yaliotoka tcu only.au nyie ndo wachakachuaji?

saadmad

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
520
194
asa mkopo alipataje wakati hakuchaguliwa na tcu kwa mara ya kwanza.na bod ya mikopo ilikuwa inatoa mkopo kwa majina yaliotoka tcu only.au nyie ndo wachakachuaji?

wewe bwana mdogo kichwani unamatango au nyungu nyungu mum hakija jiunga na cas ndio ila list ya qualified student ili pelekwa t.c.u kwa ajili ya reveiw then ikapelekwa board kutathminiwa mkopo haina maana vyuo vilivyo kua against na cas wanafunz wake hawapati loans. Lolz

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,122
3,721

Kuna jamaa yangu mmoja anataka kuhama chuo ambacho alichaguliwa pamoja nakuwekewa mkopo wake huko(muslim u.morogo)ila baada ya 2nd round tcu wamempanga kiu,so ameamua kuabandon mum na kwenda kiu,so alkuwa anatk kujuwa ni vp anaweza kushift mkopo wake frm mum to kiu?
kaka yani hueleweki na hii ni sababu ya uongo unaotaka kuu-4c huwe ukweli,umeeanza kwa kusema "alichaguliwa pamoja nakuwekewa mkopo wake huko"...alichaguliwa na nani na mkopo kapewa na nani???...na hapohapo ukasema "2nd round tcu wamempanga kiu".....huku ndo mikopo inatolewa na bodi na kama huku ajapewa KIU hiyo MUM kapewa na nani wakati haipo TCU???...em muulize vizuri hatuwezi kuchangia hoja ambayo haija kamilika tutakua tunapoteza muda.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom