Sheikh kipozeo (mzee wa Neema za Allah) kumchana diamondplatnumz live

talentboy

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
2,101
2,051
Sheikh aonesha kutoridhishwa na mwenendo/style anaokwenda nao mwanamziki nguli nchini diamondplatnumz....asema life style yake kwa sasa haiendani kabisa na miongozo ya imani/dini yake ya kiislamu,ni bora ajitangaze tu kuwa yupo upande wa pili.

Ameeleza hayo kwa kurejea ngoma ya mwanamziki huyo inayobamba kwa sasa ya HALELLUJAH...ambapo pia ameelezea tabia yake ya kuvaa misalaba kama wanavyofanya ndugu zetu wa damu wakristu.

Naomba Allah amuongoe diamond kama alivyomuongoa Mzee Yussuf! Amin. Angalia video hapa chini:

 

Attachments

  • VID-20171024-WA0005.mp4
    3.9 MB · Views: 79
Tofauti za lugha zisikuchanganye mkuu! kwani Kisu (Kiswahili) na Knife (english) ni vitu viwili tofauti?
Hujajibu swali Mkuu.

Huyo anayeongelewa na pande zote mbili, huku Jesus na kule Isa ni Mtu mmoja? kama ni mmoja, alikuwa Mwarabu au Mzungu?
 
Hawezi kuwa mtansha maana alizaliwa mashariki ya kati na mama yake alikuwa na chimbuko la huko
Hawezi kuwa Mtasha? wewe uliwahi kuona wapi Jesus akitambulishwa kwa muonekano wa Kiarabu?

Maria (Mama Mzazi) mwenyewe anatambulishwa kama Mzungu.
 
Hawezi kuwa Mtasha? wewe uliwahi kuona wapi Jesus akitambulishwa kwa muonekano wa Kiarabu?

Maria (Mama Mzazi) mwenyewe anatambulishwa kama Mzungu.
Hiyo ni perception ya sisi binadamu kama ambavyo watu uwa wanadhani ile picha ni sura ya yesu na ni yesu mwenyewe.
Movie imewaathiri.
Lakini hata maandiki yako wazi kabisa Yesu na mama yake walitokea Masharki ya kati.
 
Back
Top Bottom