talentboy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 2,104
- 2,069
Habari zenu wakuu!
Kwa ufupi tu,kwa anayejua taratibu za kupatiwa ViSA ya Nchini Brazil katika ubalozi wa Brazil uliopo Tanzania naomba anijuze mambo yafuatayo:
-Ni yepi mahitaji yake(requirements) ili uweze kupatiwa hiyo visa
-Ni zipi taratibu za kufuata mpaka nikamilishe mchakato mzima wa kuipata iyo visa
-Na ada zake zipoje
NB:nataka kwenda kwa ajili ya masuala ya kibiashara,ila ndo itakuwa mara yangu ya kwanza,nakwa sasa sipo Dar. Hivyo ningependa kupata taarifa na maelezo ya awali kwanza! Shukrani.