Search results

  1. Jr. Gong Mira

    INAUZWA Photocopy Mashine for sale

    Canon IR2525i. Specification *Copy/Printer/Scanner/Fax Black & White Printing A3/A4 paper printing Double sided Automatic * Speed 25 pages printing per 1 minute Canon IR2530i. Specification *Copy/Printer/Scanner/Fax Black & White Printing A3/A4 paper printing Double sided Automatic...
  2. Jr. Gong Mira

    Nauza Vespa NV

    Nauza Vespa NV Ipo katika condition nzur labda. Napatikana Zanzibar Bei 1,800,000/= No. 0655 205796
  3. Jr. Gong Mira

    Nahitaji kununua "Name Tag"

    NAHITAJI NAME TAG Natumai ni wazima wa Afya, kwa wagonjwa Allah awape uzima. Ndugu zanguni nina shida kubwa sana , nahitaji kununua "Name Tag" Yoyote anaweza kunisaidia wapi nitapata naomba tafadhali. Ahsanteni.
  4. Jr. Gong Mira

    Nauza Pikipiki aina Vespa

    Chombo imetulia kabisa. Location: Zanzibar. Tsh. 2,000,000/=
  5. Jr. Gong Mira

    Watanzania tuna cha kujifunza kupitia kwa Lissu

    Habari wana JF. Natumai tuwazima wa Afya na Allah awaponye wangonjwa wote. Ama kweli leo ndo nimeamini msemo wa "Akili za kuambiwa changanya na zako" Hivi karibuni viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Lissu waliwataka wananchi waanadame ila kwa moyo wa upendo na amani ya nchi yetu nzuri wananchi...
  6. Jr. Gong Mira

    Ushauri: Nifanye nini ili kipato changu kinitosheleze kwa mwezi

    Habari wakuu. Natumai mpo salama. Mimi ni kijana msharaha wangu wa mwezi 350,000/= kwa mwezi. Nina mke na mtoto mmoja ila naona maisha ni magumu mno kipato changu cha mwezi hakinitoshelezi hata kidogo ndani ya wiki mbili tu sina hela tena. Naomba ushauri nifanye nini kwa kipato hicho angalau...
  7. Jr. Gong Mira

    Chemsha Bongo

    Mm naanza na Vision. Tiririka Sasa mpaka mwisho Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Jr. Gong Mira

    BAJETI ya siku

    Mfano umeamka asubuhi pesa uliyobaki nayo ni shs 4,600. Huna pesa nyingine. Panga BAJETI yako ya chakula kwa siku nzima. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Jr. Gong Mira

    Ushauri: Nataka kuoa mwanamke ambaye simpendi

    Wakuu habari za Weekend. Mimi ni kijana na nimefikia umri wa kuoa sasa, ila changamoto ni kutaka kumuoa msichana ambae hayumo katika hisia zangu, ila sababu ya yeye ana tabia zote nzuri, lakini mimi tu sijavutiwa sana kwa upande wa sura tu basi. Na kwa upande wake ananipenda zaidi ya sana na...
  10. Jr. Gong Mira

    Tujikumbushe kidogo

    Je, una mume au mke, girlfriend ama boyfriend? Unakumbuka mistari (uliyotumia/ aliyotumia) mwenzio kukuingiza kwenye kumi na nane? Please share It with us
  11. Jr. Gong Mira

    Nakushauri usioe

    Mdogo wangu Wanawake bitches sana. Nisamee kwa lugha hio ila nimekwazika. Miak 7 kwenye ndoa and she was OK. Nimeachishwa kazi juzi juzi tu. Leo Ana mahusiano ya siri na boss wa kampuni ya ulinzi. Tuna watoto 2. What can I do? Hata usipoficha uso wangu. Nishavurugwa posti tu Mdogo wangu...
  12. Jr. Gong Mira

    I pray for single mothers

    "I pray for single mothers. May you learn and understand that you are not worthless simply because you've been deflowered & left with beautiful seedlings. Those children are gifts, & men such as myself, love to receive those kinds of gifts. ;) I pray for broken children. Let me be your proof...
  13. Jr. Gong Mira

    Mawazo ya biashara ndogondogo za mtaji kuanzia elfu 10 hadi elfu 50

    1,DAGAA WA BUKOBA Dagaa hawa wanapatikana masoko mengi, hawa wanakua hawana mchanga kabisa, wanauzwa kg moja elfu nane huwa inashuka had elfu tano, hawa unanunua vifuko unapack unauza mtaani kifuko buku Kwenye kilo moja unaweza toa vifuko 15 sawa na elfu kumi na tano so elfu mbili vifuko elfu...
  14. Jr. Gong Mira

    Tukio gani hulisahau katika mapenzi

    Habari na Jamvi natumai ni wazima. Twende kwenye mada moja kwa moja. Ni tukio gani hulisahau katika kufanya mapenzi. Mm binafsi kipindi hicho cha Baleghe nilipata jimama la kugegeda , sasa tupo room akaanza kuninyonya mshededee basi zile raha niliokuwa nazisikia achaa kabisa gafla wazungu hao...
  15. Jr. Gong Mira

    Mke wa mtu ni hatari

    Nilitokea kufamiana na mdada mmoja kwa mazoea tuliyokua nayo tukajikuta tupo ktk mahusiano ya kimapenzi ambayo sio rasmi, lakini sikutaka kua nae kwasabab ana mume, sababu za kua nae ni yeye kunitaka zaidi . Hivo alikua akijilengesha sana kwangu ila mm nilikua namkimbia kwa sababa tofauti nampa...
  16. Jr. Gong Mira

    Huku ni kujidhalilisha

    Mdada unatembea uchi kabisa bila hata aibu daah Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Jr. Gong Mira

    Tiba ya Nguvu za kiume.

    Supu konki konki Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Jr. Gong Mira

    Mademu wa uswazi balaa

    Nlikuwa sijawahi sex na demu wa uswahilini. Nilipata demu anakaa sinza akakubali kuja ntembelea home (nmehamishiwa kimakazi mbezi beach na kampuni) toka sinza akachukua uber mpaka home. Yule demu ana harakati nyingi sana.kitandani anataka ajishughulishe mpaka mi naboreka.tunagusa gusa tu...
  19. Jr. Gong Mira

    Nimekuta mafuta ya KY na Baby Care kwenye mkoba wa mpenzi wangu

    Ni jambo limenishangaza kifupi sina tabia ya kumfuatilia mpenzi wangu iwe kwenye simu au kwenye mambo mengi but hii ilinibidi tuu. Wakati mpenzi wangu alipokuja kwangu weekend hii na kushinda siku tatu nikajitoa ufahamu ili nisiishi kama fala nikajikuta nikiwa room nikachukua mkoba wake nikawa...
  20. Jr. Gong Mira

    Uchawi katika Biashara upo.

    Poleni na majukum ya siku nzima. nenda katika mada. Jamani Wafanya biashara ni wachawi sana hii nasema kwa kua imenikuta, tena mara mbili sehemu tofauti. kunda siku nilinda kununua simu kikawaida nna duka ambalo hua ndo nmezowea kununua simu sasa siku hio nilioyokwenda simu niliyotaka sikupata...
Back
Top Bottom