Mke wa mtu ni hatari

Mke wa mtu ni hatari

Jr. Gong Mira

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
1,281
Reaction score
1,306
Nilitokea kufamiana na mdada mmoja kwa mazoea tuliyokua nayo tukajikuta tupo ktk mahusiano ya kimapenzi ambayo sio rasmi, lakini sikutaka kua nae kwasabab ana mume, sababu za kua nae ni yeye kunitaka zaidi .
Hivo alikua akijilengesha sana kwangu ila mm nilikua namkimbia kwa sababa tofauti nampa.
Baada ya kujua kua mm namkimbia kisa ana mume akaamua kunichezea mchezo mmoja, ya kua hivi sasa ameshaachwa na yupo huru.
Baada ya kunambia hivo nikasema sasa ndo mda wangu wa kula matamu.
Sasa nikaanza kuandaa mazingira ya kumgegeda.
Ila katika harakati zangu nikiwa bado cjafanikisha kumla nikiwa maskan Mara kuna msela mmoja akawa aneleta story za yule mke wa mtu, kua jamaa mkewe hajatulia kabisa, na sasa hivi jamaa amesafiri kwa muda na alipoondoka ameeka tego kwa mkewe na mkewe amemwambia kabisa kua amuekea tego yoyote atakae kula mzigo atajijua mwenyewe.
Daah baada ya kuskia hivo nilikaa nikawaza nikijisemea mm ndo ningelikua chambo.
Baada ya hapo mipango ya kumgegeda nimefuta kabisa kabisa.
Sasa baada ya muda nikawa nawasiliana nae Mara akaanza kunambia kua mume wangu amesema talaka siyo kwa hio anasema mm ni mke wake ile ile talaka haijasihi.
Kumbe mumewe tayari amesharudi safari sasa ndo anatafuta gia ya kunifunga mm nisijue mchezo aliocheza.
Kumbe mm nishajua yote tangu mwanzo.
Tangu siku hiyo nikajua nguvu ya kugegedwa ni hatari na vilevile usimwamini sana mwanamke kila analokwambia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wewe ulikuwa unawaamini?

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom