Search results

  1. SOVIET UNION

    Serikali inatembela unabii wa Jomo Kenyata, kwamba Nyerere anaongoza Maiti

    Naamini kabisa Watawala wanatembelea maneno ya Jomo Kenyata kwamba kule Tanzania Nyerere anatawala Maiti. Jomo Kenyata alikuwa sahihi sana na aliona mbali au alishaona kabisa kwamba kule Tanzania Nyerere anaongoza Maiti. Yanayo endelea kwa sasa ni prove tosha ya Jomo Kenyata, angalia watawala...
  2. SOVIET UNION

    Kule Congo sijaona wananchi wakigawiwa kofia, kanga na Tshirt

    Nilikuwa Congo DRC kwa siku kadhaa na nilishuhudia baadhi ya kampeni katika baadhi ya maeneo ambako nilipita. Wakongo na shida zao zote na umasikini wao wote ule hawakuwa wanahongwa Tshirt, Kofia na Kanga, Wacongo walikuwa wanasisitiza wanataka Amani na maendeleo na si vinginevyo, huwezi amini...
  3. SOVIET UNION

    Watanzania sisi ni waoga sana,hii advantage kwa waonevu

    Na mimi nikiwemo,Watanzania sisi ni waoga sana aisee,Uoga wetu siufananishi na chochote kile ila ni ni uoga wa kiwango hasa,Uoga wetu ni advantage kubwa sana kwa watesi na waonevu. Hakuna kitu kinawapa nguvu watesi kama uoga wa Watanzania. Siku uoga ukitutoka ndio itakuwa mwisho wa waonevu...
  4. SOVIET UNION

    Zanzibar wana Bodi yao ya mikopo kwa Wazanzibar tu na HESLB inatoa mikopo kwa Watanzania wote

    Huu muungano ni basi tu Watanganyika ni mazezeta, ingekuwa ni Kenya wangeisha gawana mbao kitambo sana na wangeisha sahau. Fikiria Zanzibar wana bodi yao ya mikopo ya wanafunzi kwa Wazanzibar pekee na Tanzania ipo Bodi ya mikopo kwa Watanganyika na Wazanzibar.
  5. SOVIET UNION

    Ujinga Wa Mauld Kitenge, kujipa haki miliki ya picha za google

    Hii nchi ina watu wajinga sana, nimeshangaa Mauld Kitenge kuchukua picha Mapokezi ya Mbape kule Cameruni na kijimilikisha kana kwamba ana muwakilishi kule. Huwezi chukua picha google na kujimilikiaha ni ujinga na ni makosa pia.
  6. SOVIET UNION

    Englisha Medium watoto wanaweza kumaliza shule wakiwa na vidonda vya tumbo

    Watoto wengi wa hizi shule wako hatarini kupata vidonda vya tumbo kwa sababu ya aina ya vyakula wanavyolishwa na pia chakula hakitoshelezi, mtoto anarudi nyumbani ana njaa ya hatari sana na mbaya hawataki watoto wabebe vyakula vyao wenyewe ili wazazi waendelee kukamuliwa pesa za chakula...
  7. SOVIET UNION

    Zanzibar Ikijichanga vyema itaipiku Bara kwa utalii mbali sana

    Utalii wa wanyama ni moja ya vivutio vya mwisho kabisa kupendwa na na watalii weng Duniani. Utalii wa fukwe ni utalii mkubwa sana Dunuani na hapo ndipo Zenji.wanaweza piga bao Bara. Shida Bara tumejikita kwenye utalii wa Tembo na simba tu. Usha jiuliza kwa nini Moroco au Misiri wanapokea...
  8. SOVIET UNION

    Marathon zimezidi, hakuna ubunifu mwingine?

    Watanzania ubunifu ni kansa kubwa sana, watu tunapenda copy and paste. Kwa siku za hivi karibuni kumeibuka Marathon kila kukicha ni Marathon. Ni kwamba hakuna namna nyingine zaidi ya hizi Marathon? Haya mambo ya igaiga hayana afya, sio kila sehemu sasa ni pa kwenda kupractice Marathon, tuje na...
  9. SOVIET UNION

    Japan yaanza kunyanyua mikono juu kwa vikwazo vya Urusi

    Japani isha ona USA anawaingiza Chaka wenzake ilihali yeye akineemeka na vikwazo, Sasa imebidi wajisalimishe wenyewe. Kuitenga Urusi ni vigumu sana,
  10. SOVIET UNION

    Ukitoa kufuata Mkumbo, Kutumia umeme kupika ni nafuu kuliko Gas na mkaa

    Linapo kuja swala la number watu wengi ni wavivu sana, na tumebakia kufuata mikumbo tu kwamba Umeme ni ghari sana kupikia na gas ni rahisi sana ila kwenye hesabu ni tofauti kabisa. Unit 1 kwa sasa ni kama sh 357 hivi na ukiwa na sh 5000 unapata unit 14, je unit 14 kama ni kupika pekee unaweza...
  11. SOVIET UNION

    Customer Care ya Taasisi za Serikali huwa iko kwenye maonyesho pekee.

    Hizi taasisi za Serikali kutana nazo sabasaba au Nane nane uone zinavyo toa customer care ya first class, na baada ya hapo sasa wafuate offisini uone hizo nyodo zao na dharau zao na majivuno na kuanza kuona watu kama vile wameenda offisini kuomba msaada wa pesa kumbe wamefuata huduma. Na wako...
  12. SOVIET UNION

    Wanasiasa wekezeni sana kwa Yanga na Simba mtawale miaka million 100

    Watanganyika wanacho taka ni Yanga na Simba zishinde au zifanye vizuri basi, hayo mambo mengine hayawahusu kabusa, yaani hata nchi ikipigwa mnada ni poa kabisa na hakuna mwenye time. Si bure unakutana na Wakenya wako Mang'ora Karatu kule wana lima vitunguu, Wengine wako Moshi wanalima nyanya...
  13. SOVIET UNION

    Umafia wa Wakenya kwa Gari za Tanzania kwenye Mbuga ya Masai Mara

    Nimeona mahali Mzungu mmoja anaishi Arusha analalamika sana kule Facebook, kwamba alienda Masai Mara kwa safari ya Private na gari lenye namba za Usajili za Tanzania wakamzuia kuingia Hifadhini. Sasa kumbe ni kwamba wanazuia Magari yenye number za usajili za Tanzania pekee huku magari ya number...
  14. SOVIET UNION

    Je, halimashauri wangekodi mabasi jua lisingezama? Ni lazima kila mmoja awe na gari Arusha?

    Kuna gari 400 plus za halmashauri zote Tanzania. Kuna halmashauri unakuta ina gari 3: Mkurugenzi gari lake na watumishi wengine gari zao. Kwa ujumla, Arusha kuna gari 500 na zaidi za halmashauri Tanzania nzima. Sasa chukulia kwa mfano halmashauri za Mkoa wa Lindi wakaamua kuungana na Mtwara...
  15. SOVIET UNION

    Lavrov Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi alikuwa Kenya leo?

    Nimeona hii taarifa, Sasa sijajua kama alikuwa Naitobi au la,
  16. SOVIET UNION

    Kikwete,Yusufu Makamba na Pinda wanaotumika kusafisha Mafisadi kwa sasa.

    Iko hivi wakati wa awamu ya nne sina uhakika na awamu ya 3.Ila kwa awamua ya 4 hii tabia ilikuwepo sana, kulikuwa na utamaduni kwa wale wanao tuhumiwa na ufisadi hasa Wakurugenzi wa Halmashauri na wale wa Mashirika ya Umma walikuwa wanawatumia wastafu sana ili wakawaombee msamaha kwa wakubwa...
  17. SOVIET UNION

    Naomba kujua huu ni mtandao gani wa simu?

    Kuna namba inaanzia na 0734 nimeshindwa kujua ni mtandao gani
  18. SOVIET UNION

    Zambia kuzuia Mahindi kuingia Tanzania ni kutowapenda Wakulima Wake?

    Zambia wana upungufu wa Chakula na kwa sasa hawaruhusu Nafaka kutoka nje ya mipaka ya nchi yao hii ni ili kulianda Walaji wa ndani, kwa hio ni kwamba Mahindi ya Wakulima wa Zambia ni ya Umma? Linapo kuja swala la Usalama wa Chakula hakuna cha hii ni mali private wala nini, huwa kinacho angaliwa...
  19. SOVIET UNION

    Awamu hii kuna displacement kubwa inakuja hasa Wilaya za Simanjiro, Longido na Monduli

    Kuna wimbi la Wazungu wanapigana vikumbo kutaka hekari na hekari za maeneo kwenye wilaya za Monduli, Simanjiro na Longido, na sana Simaniro na Longido ndizo wilaya zinaweza poteza robo tatu ya vijiji vyao kwa kupewa wazungu. Kwa walio Simanjario nazani kazi ishaanza muda sio mrefu utasikia...
  20. SOVIET UNION

    Waziri Mwigulu anatafuta record ya wakina Basil Pesambili Mramba kwenye Upigaji

    Yule Mwamba Mramba pamoja na kwamba alishwa twaliwa ila jamaa walipiga pesa enzi zao, yule mzee nina uhakika ana pesa ya ambayo hata vitukuu vya vitukuu vyake vitakula. Mramba walikuwa na Syndicate moja kari sana ya upigaji na enzi hizo pia ndio zile na Ubinagisishaji ulikuwa umepamba moto basi...
Back
Top Bottom