halimashauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi idara ya Elimu Sekondari Halmashauri ya Ushetu, tunahisi kutengwa

    Katika Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, watumishi wa Idara ya Elimu Sekondari tunahamishwa kwenda vituo vipya bila kupewa stahiki zetu, huku tukilazimishwa kuripoti katika maeneo mapya. Wakati huohuo, watumishi wa Idara ya Elimu Msingi wanaonekana kupata malipo ya stahiki zao kwa wakati. Hali...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO PSSSF Halmashauri ya Kishapu wanachelewa kuweka mafao yangu

    Nilikuwa muajiriwa wa Halmashauri ya Kishapu kwa miaka miwili na nusu mpaka nikaacha kazi; ni zaidi ya miezi mitatu sasa imepita lakini mafao yangu ya PSSSF Bado hayajatimia yote Hali inayonifanya nishindwe ku-claim malipo yangu. Naomba msaada hili liwafikie viongozi tafadhali
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Ushetu Idara ya Elimu ya Sekondari wanachelewesha sana fedha za uhamisho

    Watumishi wa Idara ya Elimu ya Sekondari katika Halmashauri ya Ushetu wanaendelea kukumbwa na ucheleweshaji wa malipo ya fedha za uhamisho. Licha ya kupewa ahadi mara kwa mara kuwa malipo yatafanyika, hadi sasa hakuna utekelezaji. Kinachozua maswali ni kwamba watumishi tuliopangiwa uhamisho...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mpimbwe, Katavi kijiji cha Mwamapuli kuna geti linalokusanya ushuru wa mazao bila utatatibu

    Kuna malalamiko kutoka Kijiji cha Mwamapuli, Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe mkoani Katavi, kuhusu geti linalodaiwa kukusanya ushuru wa mazao kinyume na taratibu. Kwa mujibu wa wanaotoa taarifa hizi, geti hilo halifanyi kazi mchana, bali huanza shughuli zake kuanzia jioni hadi usiku. Inadaiwa...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI ya SAMIA kama hamtashughulika na Majizi yaliyopo Halimashauri ya BUTIAMA , Hospitali Mpya ya Wilaya ya BUTIAMA Haitokaa Kumalizika Ujenzi

    Mimi ni Chadema Damudamu, na kama ambavyo Chama Changu hakiitambui Serikali hii ilotokana Uchaguzi Haramu !! Kuna Wakati kama Mtanzania Unaumia na kutoa Machozi !!. Ukamilashaji wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya BUTIAMA , Sulihisho sio Kubadilisha Ma DMO , Ma DMO mtabadili sana na Kila...
  6. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hivi Halotel inamilikiwa na CCM, kama Chanel Ten au? Wanahuduma za ovyo kama vyoo vya HALIMASHAURI.

    Nina uliza halotel wanamilikiwa na ccm au? Tuna siku ya Saba uwezi weka Hela au ht kutoa Hela yaani wanahuduma za OVYO km vyoo vya HALIMASHAURI what's wrong with halotel in Tanzania?; Soma Pia: Mnaoweka pesa HALOPESA kuweni makini
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania WIZI huu Nina uhakika wakurugenzi wa HALIMASHAURI wanausika kikubwa mno maana ni nchi nzima.

    SHUGHULI zangu zinanifanya nisafiri kila uchwao na njia kuu ninazotumia ni BARABARA, na kupitia kwenye stand zetu zilizojengwa kwenye HALIMASHAURI mbalimbali. Nikianza na stend kuu ya Magufuli, Kuna habaria wengi wanatumia stend Ile na WANALIPA viingilio lakini hawapewi risit wao wanalipishwa...
  8. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania KERO Ni mateso kwa ajira mpya Halmashauri ya Msalala-Kahama

    Niwe mkweli sijawahi ona halmashauri wazembe, wala rushwa, wavivu kama halimashauri ya Msalala-Kahama. Halmashauri hii imegeuka kuwa kilio kwa watumishi wa umma, ukiwa na shida husikilizwi, mtumishi unaonekana kama kibaka. Ajira mpya walioajiriwa toka February halmashauri hii imegoma kata kata...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Katavi: Askari mgambo kijiji cha Mwamapuli, Halmashauri ya Mpimbwe wamekuwa ni kero kubwa

    Askari hawa wamekuwa wakibambikizia watu kesi na kukamatwa hovyo. Tunaomba Mamlaka ziwachukulie hatua hawa matapeli kwa kivuli cha 'mgambo' ambao wanatembea na pingu ovyo na hatujui wanatoa wapi hizo pingu. Askari mgambo hao ni Isaya na Mashada.
  10. technically

    JamiiForums Tanzania Rais Samia toa maagizo kwa NIDA wawapigie watu simu wawaletee vitambulisho kwenye halimashauri walizopo!!

    Nasikitishwa na hii tabia ya nida kutaka kufuta vitambulisho ambavyo havijachukuliwa unakuta mtu alijiandikisha Tarime halafu yupo Dar kitambulisho kinachapwa Dar halafu kinapelekwa tarime wakati mhusika yupo dar!! Yaani nichukue laki2 kufatilia kitambulisho kweli kichekesho!! Hivi nida ni...
  11. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Tovuti za baadhi ya Halimashauri Nchini zijitathimini na kuwajibika

    Ukienda kutazama tovuti za Baadhi ya wilaya nchini Tanzania utakuta taarifa za mwaka 2022, jambo ambalo linakatisha tamaa na kutoa taswira mbaya kwa halimashauru husika inawezekanaje mwaka 2025 unakutana na taarifa za mwaka 2022 hiyo inaonesha kuwa wasimamizi wa hizo tovuti hawatendi haki wala...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Ajira ya Kuzika Maiti zisizotambulika latolewa Mkuranga. Hizo maiti zitakuwa zinatoka wapi?

    Bali kuna Maswali yanayohitaji majibu Pia soma:Maiti 69 zazikwa na Jiji la Dodoma baada ya kukosa ndugu
  13. mackj

    JamiiForums Tanzania SoC04 Wakurugenzi wa halimashauri wapatikane kwa mfumo wa ajira ili kuleta dhana ya utawala bora na uwajibikaji kwa wananchi na siyo kwa watawala

    UTANGULIZI. Ni makala ya story of change ya jamii forum, inayochochea mjadala wa kitaifa juu ya masuala mbalimbali, nami nikiwa nimeangazia dhana ya utawala bora nchini Tanzania, ili kuipata “Tazania tuitakayo” jina langu ni Makiwa Jumanne Ni hivi karibuni Taifa la Tanzania limetimiza miaka 63...
  14. FANALEKI

    JamiiForums Tanzania Huu wizi wa wazi kwenu watu wa halimashauri

    11
  15. SOVIET UNION

    JamiiForums Tanzania Je, halimashauri wangekodi mabasi jua lisingezama? Ni lazima kila mmoja awe na gari Arusha?

    Kuna gari 400 plus za halmashauri zote Tanzania. Kuna halmashauri unakuta ina gari 3: Mkurugenzi gari lake na watumishi wengine gari zao. Kwa ujumla, Arusha kuna gari 500 na zaidi za halmashauri Tanzania nzima. Sasa chukulia kwa mfano halmashauri za Mkoa wa Lindi wakaamua kuungana na Mtwara...
  16. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Meya wastaafu wa CHADEMA muigeni Boniface Jacob, onesheni wizi unaojitokeza kwenye halimashauri mlizohudumu

    Kwanza nitoe kongore mwa ex Mayor ndugu Mh Bon Yai Kwa uchambuzi wake makini na wa kuaminika hakika ametufugua macho Wana Dsm keep it broo!maana Mkaguzi ameyaandika na kusepa. Nitoe Rai kwa ex Mayor wote waliokuwa wakiongozwa na Chadema kujitokeza kichambua ripoti za mkaguzi ili kuonesha hali...
Back
Top Bottom