SOVIET UNION
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 455
- 1,283
Linapo kuja swala la number watu wengi ni wavivu sana, na tumebakia kufuata mikumbo tu kwamba Umeme ni ghari sana kupikia na gas ni rahisi sana ila kwenye hesabu ni tofauti kabisa.
Unit 1 kwa sasa ni kama sh 357 hivi na ukiwa na sh 5000 unapata unit 14, je unit 14 kama ni kupika pekee unaweza pikia kwa siku ngapi?
Shida inakuja pale ambapo unakuta matumizi ya umeme ni mengi sana, Kupasi, taa, Radio, TV, fridge na mashine zingine za jikoni plus jiko la umeme na hapa sasa jiko la umeme huangushiwa lawama zote za kutumia umeme mwingi.
Na pia wengi hatujui kuna sufuria special za kutumiwa kwenye jiko la umeme na kuna za kutumiwa kwenye jiko la gas, sisi ni kanyaga twende hapo ndio shida inapoanzia.
Ila kama una line special ya jiko pekee utagundua kwamba kutumia jiko la umeme ni nafuuu kuliko gas.
Njoo pia umeme wa sh 1500 unaweza ivisha chakula na unit zikabakia, ila huwezi pata hata mkaaa wa sh 1500 wala gas ya sh 1500
Watu hawajakaa chini wakapiga hesabu na ndio maana nyumba za Wazungu wengi hata hapa Bongo wanapikia sana Umeme kuliko gas.