Kule Congo sijaona wananchi wakigawiwa kofia, kanga na Tshirt

SOVIET UNION

JF-Expert Member
Sep 2, 2017
455
1,283
Nilikuwa Congo DRC kwa siku kadhaa na nilishuhudia baadhi ya kampeni katika baadhi ya maeneo ambako nilipita. Wakongo na shida zao zote na umasikini wao wote ule hawakuwa wanahongwa Tshirt, Kofia na Kanga, Wacongo walikuwa wanasisitiza wanataka Amani na maendeleo na si vinginevyo, huwezi amini na shida zote zile lakini Raia wako ngangari.

Pia pamoja na Umasikini wao mkubwa ila wana kiwango kikubwa sana cha uelewa na pia elimu ya Uraia wanaijua vyema sana. Sio watu wa kuhongwa Sukari na Kanga. Ukitaka uone maajabu mfano Tanzania tembelea maeneo ya Usukumani kanda ya ziwa wakati wa kampeni, kule utakutana na watu wanahongw Chumvi, sio hata Sukari hapana ni chumvi.

Watawala kwa sasa hesabu zao ni kutafuta pesa sa Tshirt, kofia na Kanga make hivi vitu vitatu vinatosha kumuhakikishia kurudi Bungeni,tunakwama wapi? Kwa nini tunazidiwa na Congo nchi ambayo wana kila aina ya shida?

CCM nguvu zao na uchawi wao uko kwenye Kanga, Tshirt na kofia, kuna mtu aliwahi niambia huwa CCM wanaenda kutambikia zile Kanga, tshirt na kofia ili raia akivaa tu asahau shida zote zilizo pita.
 
Nilikuwa Congo DRC kwa siku kadhaa na nilishuhudia baadhi ya kampeni katika baadhi ya maeneo ambako nilipita. Wakongo na shida zao zote na umasikini wao wote ule hawakuwa wanahongwa Tshirt, Kofia na Kanga,Wacongo walikuwa wanasisitiza wanataka Amani na maendeleo na si vinginevyo, huwezi amini na shida zote zile lalini Raia wako ngangari.

Pia pamoja na Umasikini wao mkubwa ila wana kiwango kikubwa sana cha uelewa na pia elimu ua Uraia wanaijua vyema sana.Sio watu wa kuhongwa Sukari na Kanga. Ukitaka uone maajabu mfano Tanzania tembelea maeneo ya Usukumani kanda ya ziwa wakati wa kampeni, kule utakutana na watu wanahongw Chumvi, sio hata Sukari hapana ni chumvi.

Kule watu walishavurugwa,utampa nani kapelo na T-shirt akuelewe.Kabila mwenyewe walimchenjia mpaka akakimbia nchi!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Hawa watawala wameshajua kabisa kwamba waswahili kumbukumbu zao ni kama nyumbu zinawahi kupotea, mtu yule yule aliekuambia kama unaonewa hamia Burundi na maneno mengine mengi ya kashfa ndio huyo huyo atakuja kuwaambia nichagueni nikatatue shida zenu na watu watapiga makofi na vigeregere na kumchagua tena, tume amua kuishi kama tumekatwa vichwa
 
Nilikuwa Congo DRC kwa siku kadhaa na nilishuhudia baadhi ya kampeni katika baadhi ya maeneo ambako nilipita. Wakongo na shida zao zote na umasikini wao wote ule hawakuwa wanahongwa Tshirt, Kofia na Kanga,Wacongo walikuwa wanasisitiza wanataka Amani na maendeleo na si vinginevyo, huwezi amini na shida zote zile lalini Raia wako ngangari.

Pia pamoja na Umasikini wao mkubwa ila wana kiwango kikubwa sana cha uelewa na pia elimu ua Uraia wanaijua vyema sana.Sio watu wa kuhongwa Sukari na Kanga. Ukitaka uone maajabu mfano Tanzania tembelea maeneo ya Usukumani kanda ya ziwa wakati wa kampeni, kule utakutana na watu wanahongw Chumvi, sio hata Sukari hapana ni chumvi.

Watawala kwa sasa hesabu zao ni kutafuta pesa sa Tshirt, kofia na Kanga make hivi vitu vitatu vinatosha kumuhakikishia kurudi Bungeni,tunakwama wapi? Kwa nini tunazidiwa na Congo nchi ambayo wana kila aina ya shida?

CCM nguvu zao na uchawi wao uko kwenye Kanga, Tshirt na kofia, kuna mtu aliwahi niambia huwa CCM wanaenda kutambikia zile Kanga, tshirt na kofia ili raia akivaa tu asahau shida zote zilizo pita.
CHAMA TAWALA TANZANIA Rushwa ni AHADI yao kwa Wananchi kuwa itatoa Rushwa wakati wa UCHAGUZI ili ipigiwe kura

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli bahati mbaya Leo jumapili ningekutumia picha, wamekuja kuprint t-shirt na kofia hapa Tanzania Tena kariakoo, jumatano nikumbushe nikuwekee pi ha za kofia na t-shirt.
 
Sio kweli bahati mbaya Leo jumapili ningekutumia picha, wamekuja kuprint t-shirt na kofia hapa Tanzania Tena kariakoo, jumatano nikumbushe nikuwekee pi ha za kofia na t-shirt.
sio za kuhonga kama kama za CCM, hata uchaguzi wa USA kuna Tshirt na Kofia elewa. CCM kofia na tshirt ni za kuhonga, ni sehemu ya rushwa kwa raia wapumbavu ambao ni asilimia kubwa
 
Linapo kuja swala la ujinga Tanzania ni kevo nyingine kabisa,
Kuna mada wiki iliyopita ilikuwepo hapa iliongelewa kuhusu UJINGA Kwa Tanzania tunaongoza Africa kuna watu wachache walibisha ila asilimia kubwa walikubali kuwa hii nchi inaongoza....
 
Hili suala la ccm kuhonga kanga , chumvi, kofia ni la Tanzania nzima sio usukumani tu, na ccm 90% ya ushindi wao ni kwa ubabe na support ya vyombo vya ulinzi na tume uhuru zina wabeba kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na wapinzani wao, mfano mtu kateuliwa na Rais kuwa mwenyekiti wa tume hawezi kutangaza matokeo tofauti na matakwa ya mteule.

Pia 95% ya wakurugenzi ambao ni wa simamizi wa uchaguzi ni ccm walioshindwa ubunge kwenye kura za maoni , hao wote hawa wezi kwenda kinyume na matakwa ya chama Chao.

Upuuzi mwingine ni wa wapinzani wenyewe kuwa na tamaa binafsi sio maslahi ya taifa, yaani kuna vyama kazi ya ni kubaliki maovu ya ccm, hawa wanadai hatushiriki uchaguzi hadi mambo fulani yatekelezwe , vyama vingine vitasema tuna shiriki kwa mgongo wa ni haki yetu na ni demokrasia.

Vyama vya upinzani viache ujinga, viungane vote na viwe na Sauti moja, kiasi kwamba vikisema hatushiri uchaguzi basi kusiwepo chama kingine cha kushiriki uchaguzi wala kupiga kampeni, wafanye hivyo hata kama ni kwa miaka 50, lazima ccm itakubali mabadiliko, lakini haya yanayotokea sasa hivi ni mtego mzuri sana, actually upinzani una poteza pesa hata kufanya hizi kampeni kwa sas majukwaani, wangetumia muda mwingi kuunganisha vyama vyote viwe kitu kimoja na wakubaliane kimaandishi.
 
Hapa mpaka CCM itoke ndio watu wataanza kutumia akili zao, kwasasa akili za watu wote zimefungiwa kabatini na funguo wanazo CCM..
 
Back
Top Bottom