Search results

  1. Duble Chris

    Bunge maalumu la Katiba kuendelea leo !

    Baada ya majadiliano ya kamati zote 12 kukamilika na ripoti kuandaliwa LEO bunge litakuwa Live kupitia Tv sosi TBC TAIFA
  2. Duble Chris

    Baada Zitto kusimamishwa CHADEMA, uongozi Ujisahihishe sasa

    Madai ya muda mrefu ya Zitto na wanachama wengine ni wakati muafaka sasa yapatiwe ufumbuzi. Yapo mengi yanayokwenda isivyo ndani ya chama hasa la Kuiwezesha mikoa, wilaya na kanda kifedha inasemekana haya yalikuwa madai ya Wangwe pia ili kuwa na CHADEMA imara Uongozi wa kitaifa uyaangalie...
  3. Duble Chris

    Yaliyojiri: Mkutano wa Dr. Slaa - Mbeya 15 Sept 2013

    Dr. Slaa ameshawasili uwanja hivi jukwani yupo Silinde silinde; yote yanayofanyika ni kwa ajili ya kupigania haki za wananchi ccm wana macho kakini hawaoni update SUGU- Hakuna kitu wanacho kiogopa hawa ccm kama katiba mpya. Awali walidhani Walioba atawasaidia hakuna kitu anasema...
  4. Duble Chris

    Mkutano wa CHADEMA - Mbeya

    Mbowe yupo Mbeya kukusanya maoni ya katiba mpya. Hivi sasa jukwaani yupo lisu anasema kama Dsm wangefanya japo nusu ya waliyo fanya watu wa MBEYA basi nchi hii ingekuwa mbali sana.
  5. Duble Chris

    Muishio Dar Jibuni Swali hili

    hili swali ni kwa wanaoishi Dar pekee
  6. Duble Chris

    Msaada tafadhari kabla Mambo hayajaharibika

    Wakuu kuanzia leo napata messege hii kwenye PC yangu " Ask for genuine Microsoft Software " " You may be a victim of software counterfeiting. This copy of windows did not pass genuine windows validation " Tafadhari naombeni msaana nifanyeje hapa ili nisiwe victim Asante
  7. Duble Chris

    PICHA: Mkutano wa CCM Mbeya

    MKUTANO WA CCM WAFANA MBEYA LICHA YA KUTAWALIWA NA USHABIKI WA KISIASA SUGU AWATULIZA WAFUASI WAKE WASILETE FUJO KWENYE MKUTANO HUO Baadhi ya wananchi na wapenzi wa CCM Wilaya ya Mbeya Mjini wakiwa katika mkutao huo uliyofanika katika kiwanja cha kabwe mwanjelwa Hapa...
  8. Duble Chris

    PICHA: Uharibifu uliosababishwa na Waislamu Mbagala

    Mawe yametoboa vioo vingi Katika madhabahu,pameharibiwa Mabenchi yamepinduliwa na kuvunjwa Mimbari imechomwa na kuharibiwa Ofisi ya Kanisa imechomwa moto Wachungaji wa kanisa hili wakisubiria taarifa kutoka polisi Hawa wanafanya maombi na nimesikia wakiwaombea waislamu mungu...
  9. Duble Chris

    CUF yawanasa live CCM wakinunua vipande vya kupigia kura BUBUBU

    Wamkamata muuzaji. Mgombea (Bhaa), walinzi wake na dereva watimua mbio Jana tarehe 14/9/2012 ikiwa zimebaki siku mbili kabla ya siku ya upigaji kura kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa jimbo la Bububu, CCM wanaonekana kutegemea rafu na michezo michafu kama mtaji wa kutafutia ushindi. Kikosi...
  10. Duble Chris

    "CHADEMA Wamechakachua Picha"!

    Mimi ni kati ya watu nisiyopenda propaganda za kijinga.Nani anaweza akaamini kuwa CHADEMA walipata watu umati wote huu jana wakati mtu mmoja alikuwa ameshauawa na wengine kujeruhiwa mchana huohuo? tuache kudanganyana hapa,CHADEMA wametengeneza hii picha siyo halisi.kama kweli watu wamejaa hivi...
  11. Duble Chris

    CHADEMA - Mbeya: Mwendo mdundo!

    leo hii tar 15. 07. 2012 kumefanyika chaguzi za serikali za mitaa hapa jiji Mbeya ili kuziba nafasi za wenyeviti na wajumbe walio hamia CHADEMA / Kufariki dunia jumla kulikuwa na chaguzi 7 serikali za mitaa katika hiyo CHADEMA imechukua 6 na CCM moja (1) tu mojawapo ni ILEMI - CHADEMA...
  12. Duble Chris

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mbeya mjini asema hayuko tayari kwenda kuhojiwa na polisi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Mbeya Mjini John Mwambigija, akiongea na waandishi wa habari katika hotel ya mbeya peak Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Diwani Athumani, aliwaambia waandishi wa habari kwamba Mwenyekiti huyo anahitajika polisi kwa ajili ya kutoa...
  13. Duble Chris

    Tanzania: Nchi inayo ongozwa kwa nguvu ya migomo

    kila mahali utasikia kuna mgomo kule ama huku na kuna baadhi ya maeneo migomo ya wananchi haiwekwi wazi angalia baadhi migomo hii kigoma - wananchi wanagoma kupandishiwa ushuru ili hali huduma ni mbovu (RFA jana) Walimu wanajiandaa kugoma nadhani kesho wanaanza mgomo rasmi kisa cha...
  14. Duble Chris

    Reasons why I never visit rich people !!

    Reasons why I never visit rich people !! Question: "What would U like to have... Fruit juice, Soda, Tea, Chocolate, Milo, or Coffee?" Answer: "tea please…" Question: " Ceylon tea, Herbal tea, Bush tea, Honey bush tea, Ice tea or green tea ?" Answer : " Ceylon tea.. " Question : "How...
  15. Duble Chris

    Mkaguzi wa vyama vya siasa kukaguavyama

    Msajili wa vyama vya siasa amesema atafanya ukaguzi wa vyama vya siasa hasa vile ambavyo vipo na havifanyi siasa vinasubiri kipindi cha uchaguzi mkuu ndipo hujitutumua amesema ikiwezekana atavifuta maana haviwasadii Watanzania kutoa elimu ya uraia source Chanel ten HABARI my take HONGERA...
  16. Duble Chris

    Jambo wanalo kubaliana CCM na CHADEMA!

    Jambo ambalo CCM na CHADEMA kimsingi wanakubaliana ni kuwa Magamba yapo na sharti yavuliwe vyma vyote vinakiri hili suala. Muda wote napata taabu sana kwa nini CCM hawajawavua magamba hawa watu hadi sasa ? ona wanavyo wabembeleza kwa gharama za T- shirts
  17. Duble Chris

    COMPUTER yangu haisomi CD zote msaada tafadhari

    naombeni msaada kwa hili tatizo namna ya kulitatua, hili tatizo limejitokeza ghafra, haitambui aina yoyote ya CD
  18. Duble Chris

    Pinda: Mabadiliko sawa ila yaende ngazi kwa ngazi

    Leo ktk uwanja wa Sokoine akiwa anazitua sensa ya watu na makazi pamoja kuwasha mwenge wa uhuru Mh. Waziri mkuu amezunguzia mambo mengi ikiwa ni pamoja na: kuwataka watu wajiepushe na ugojwa hatari wa ukimwi watu wajiepushe na matumizi ya madawa ya kulevya mtazamo wa baraza jipya la mawaziri...
  19. Duble Chris

    Mbunge Dr. Mary Mwanjelwa amekanusha vikali kuwa anataka kuhamia CHADEMA

    MBUNGE wa viti maalum kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mbeya Dr.Mary Mwanjelwa amekanusha uvumi ulioripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini kuwa anatarajia kukihama chama hicho na kujiunga na Chama cha demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Alisema taarifa hizo ni uzushi na...
  20. Duble Chris

    CCM wazidi kutimkia chadema Mbeya

    Mchumi wa CCM wilaya ya Mbozi Bi Happiness Kwilabya ajiunga na CHADEMA, akifuatana na wanachama 18 Bi Happiness akikaribishwa jukwaani na viongozi wa chadema Kwa takribani mwezi mmoja hivi sasa CCM imepoteza zaidi ya wenyeviti wa mitaa wapatao watano, ambao wameamia CHADEMA na mwingine...
Back
Top Bottom