Msaada tafadhari kabla Mambo hayajaharibika

Duble Chris

JF-Expert Member
May 28, 2011
3,481
564
Wakuu kuanzia leo napata messege hii kwenye PC yangu

" Ask for genuine Microsoft Software "

" You may be a victim of software counterfeiting. This copy of windows did not pass genuine windows validation "

Tafadhari naombeni msaana nifanyeje hapa ili nisiwe victim
Asante
 
You are already a victim cause you have used a software that is not genuine.Kama screen imekuwa black baada ya kukamatwa ulipokuwa kwenye net there is nothing you can do zaidi ya kufanya "back up" na kuinstall kila kitu upya then uicrack window kabla hujaenda kwenye internet otherwise uizoee hiyo message ila Microsoft wakipita huko uliko wakaikuta hiyo message utakamatwa uwasaidie kuwapeleka ulikoipata.Kama screen siyo black icrack it is ok,kama screen ni black fanya kama niliyokwisha kueleza mwanzo.
 
Kuna njia rahisi niliipata humu humu ndani, Jaribu kusearch utaipata.
 
Wakuu kuanzia leo napata messege hii kwenye PC yangu

" Ask for genuine Microsoft Software "

" You may be a victim of software counterfeiting. This copy of windows did not pass genuine windows validation "

Tafadhari naombeni msaana nifanyeje hapa ili nisiwe victim
Asante

ungesema unatumia windows gani ili uweze kusaidiwa maana hata XP nayo ina ujumbe huo kama ni 7 basi tafuta loader za activation na kama ni XP tafuta key za activation nenda kule JF store kuna uzi wa key nyingi nyingi..
 
Back
Top Bottom