COMPUTER yangu haisomi CD zote msaada tafadhari

Duble Chris

JF-Expert Member
May 28, 2011
3,481
564
naombeni msaada kwa hili tatizo namna ya kulitatua, hili tatizo limejitokeza ghafra, haitambui aina yoyote ya CD
 
Inatokana na mojawapo ya sababu tatu zifuatazo:

(a) Drivers za hiyo optical drive ni mbovu.
(b) Optical drive ni mbovu au Lens inahitaji kusafishwa
(c) ROM BIOS setting imebadirika kwa bahati mbaya na kurekodi kuwa hakuna optical drive.
 
ni kweli mkuu hasa hapo (c) maana mara ya mwisho ilikuwa inanipa option ya kujiresta kisha ikafutika gafra. Naomba ushauri zaidi nifanyeje ili kurectify hili tatizo.
 
ni kweli mkuu hasa hapo (c) maana mara ya mwisho ilikuwa inanipa option ya kujiresta kisha ikafutika gafra. Naomba ushauri zaidi nifanyeje ili kurectify hili tatizo.

Kila computer ina njia yake ya kuse up ROM BIOS, kwa hiyo hakuna jibu moja. Mimi ninapotokewa na tatizo la namna hiyo huwa ninjaribu njia zote ninazofahamu hadi ninapofanikiwa.

Start computer yako, wakati kabla haijafungulia MS Windows, bonyeza bonyeza keys zifuatazo, mojawapo itakufungulia hiyo setup window: F8, F9. F10, F11, DEL, INS, SPC. Inabidi hiyo window hiyo BIOS ifunguke kabla MS-Windows haijaload kwenye system, iwapo MS Windows itafunguka mapema basi inabidi uanze tena.

Good Luck
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom