Search results

  1. Desi P

    SoC01 Njia bora ya kuondoa tatizo la ukosefu wa ajira nchini

    Tatizo la ukosefu wa ajira ni janga ambalo lipo duniani kote, lakini ukubwa wa tatizo hili hutofautiana baina ya nchi moja na nyingine, mathalani nchi ambazo zimeendelea tatizo la ukosefu wa ajira ni dogo sana ukilinganisha na nchi zinazoendelea kama nchi yetu Tanzania. Kinachosababisha kuwepo...
  2. Desi P

    Msaada wa bei ya pikipiki za escootor

    Habari za mchana wadau naomba kujua bei za pikipiki zile ndogo jina lake nahisi kwa kiingereza ni escootor. Je huuzwa bei gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Desi P

    MSAADA WA MASHINE YA PHOTOCOPY IPI NI BORA KATI YA HP NA EPSON

    Habar wadau Ninaomba kufahamishwa kati ya mashine ya kudurufu karatas ya epson L385 na hp inayouzwa 150k ipi ni bora kuliko nyingine?
  4. Desi P

    Wapi ninaweza kupata mashine ya photocopy ya bei nafuu

    Habari ya asubuhi wadau Samahani sana ninaomba kufahamishwa ni wapi ninaweza kupata mashine ya fotokopi ya bei nafuu
  5. Desi P

    Nawezaje kuunganisha simu janja (smartphone) na projector?

    Samahani sana wakubwa. Naomba kuuliza kwamba, je nawezaje kuunganisha simu janja (smartphone) na projector? Je ujanja gani nitumie ili niweze kuunganisha simu itumike moja kwa moja kwenye projector. Samahan sana kwa usumbufu.
  6. Desi P

    Msaada wa kupata link ya kupakua video za masomo

    Habari ya mchana wakuu. Bila kupoteza Muda Naomba niende moja kwa moja Kwenye hoja, mimi Naomba kusaidiwa link ya kupata video mbalimbali za masomo kama vile video ya kitabu cha Ngoswe, kilio chetu, Takadini na zile za masomo ya sayansi. Nawatakia mchana mwema wakuu
  7. Desi P

    Application ya simu inayowezesha kupakua nyimbo YouTube

    Habari wakuu, bila kupoteza Muda Naomba niende moja kwa moja Kwenye hoja. Mm natumia simu hizi za Android sasa ni application ipi itaniwezesha kupakua nyimbo YouTube. Mwenye kufahamu naomba anijuze wakuu.
  8. Desi P

    Naomba kuelekezwa namna ya kujifunza na kuandaa mihuri yaani uchapaji

    Habari ya Mchana huu wadau. Naomba Niende moja kwa moja Kwenye hoja Mimi Napenda kujifunza namna ya kuandaa mihuri yaani uchapaji kwa mfano kama vile Kwenye tshet za shule au vikundi mbali mbali. Kwa wakuu wanaofahamu hii kazi basi Naomba mnisaidie kupata angalau mwanga juu ya hili.
  9. Desi P

    Je unaweza kusamehe na kusahau?

    Binafsi nimekutana na mambo mengi sana ambayo yaliniumiza moyo na bahati mbaya walionitendea ni watu wa Karbu Sana na mimi. Nifanyaje ili niweze kuwasamehe na kuwasahau? Msaada tafadhari... Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Desi P

    Kwanini watu wengi wa JF hawajiamini?

    Tatizo la kutojiamini linawakumba watu wengi sana katika nyanja tofauti tofauti katika maisha kwa mfano unaweza kumkuta mtu anaujasiri wa kuongea na kundi kubwa la watu na hata wakati mwingine anawachekesha kundi zima na huku mtu mwingine ukimwambia aongee na hilo hilo kundi anaweza kujikuta...
Back
Top Bottom