Desi P
Senior Member
- Jul 31, 2017
- 150
- 77
Tatizo la kutojiamini linawakumba watu wengi sana katika nyanja tofauti tofauti katika maisha kwa mfano unaweza kumkuta mtu anaujasiri wa kuongea na kundi kubwa la watu na hata wakati mwingine anawachekesha kundi zima na huku mtu mwingine ukimwambia aongee na hilo hilo kundi anaweza kujikuta kijasho cha kwapani kinaanza kutoka na mapigo ya moyo kwenda kasi na hatimaye mwili mzima kuanza kutetemeka.
Tatizo huwa ni nini wakuu, mwenye uelewa basi naomba anisaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo huwa ni nini wakuu, mwenye uelewa basi naomba anisaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app