Je unaweza kusamehe na kusahau?

Je unaweza kusamehe na kusahau?

samehe 7x70

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Kabla ya kusamehe jiulize kwa nini wamekukosea,kuna watu wengine ni kawaida yao kuwakosea wenzao wanajua utawasamehe tu.kama vp we hilo bifu libebe tu mtaheshimiana sana..
 
Binafsi nimekutana na mambo mengi sana ambayo yaliniumiza moyo na bahati mbaya walionitendea ni watu wa Karbu Sana na mimi. Nifanyaje ili niweze kuwasamehe na kuwasahau? Msaada tafadhari...

Sent using Jamii Forums mobile app

Get justice Mkuu, kama walikufanyia mambo mabaya jaribu kuongea nao, tafuta kikao na ndugu, kama wanakubali walikuwa na kosa na wameomba msamaha wasamehe lakini usisahau. Kama hawakubali na pia una evidence wapeleke mahakamani.
 
Mkuu katika maisha yangu kipengere cha kisamehe na kusahau,nimegundua kuwa.kuna kusamehe kosa LA mtu alilokutendea lakini huwezi kusahau tendo lilisababisha kosa hilo, kwa hiyo kusamehe kosa kupo lakini sio rahisi kusahau tendo... Na kusamehe na kusahau nafikili INA maana ya kuwa; unasamehe kosa na ikitokea mkakosana tena usichukulie au usikubushe au kuunganisha kosa LA nyuma na kosa jipya..

mwanza kwetu
 
Binafsi nimekutana na mambo mengi sana ambayo yaliniumiza moyo na bahati mbaya walionitendea ni watu wa Karbu Sana na mimi. Nifanyaje ili niweze kuwasamehe na kuwasahau? Msaada tafadhari...

Sent using Jamii Forums mobile app
e7ec7edc461733a1d824abac4b80508d.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nimekutana na mambo mengi sana ambayo yaliniumiza moyo na bahati mbaya walionitendea ni watu wa Karbu Sana na mimi. Nifanyaje ili niweze kuwasamehe na kuwasahau? Msaada tafadhari...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu inawezekana tu kusamehe ukiwa umemwamini Kristo Yesu,yeye ndiye anayekuwezesha kusamehe.Nje ya Kristo mtu hawezi kusamehe,ni kujidanganya.Na hata ndani ya Kristo,mtu anaweza tu kusamehe, sio kusahau.Labda kama huyo mtu ni taahira.So if you want to be able to forgive,believe in Christ.
 
samehe 7x70

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Unadhani ni rahisi hivyo kusamehe 7×70 kwa siku? Yaani mtu anakukosea mara 20 kwa saa moja, au mara 3 kwa dakika moja au mara 1 kila baada ya sekunde 20.....
 
Binafsi nimekutana na mambo mengi sana ambayo yaliniumiza moyo na bahati mbaya walionitendea ni watu wa Karbu Sana na mimi. Nifanyaje ili niweze kuwasamehe na kuwasahau? Msaada tafadhari...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kubeba kinyongo moyoni ni sawa na kunywa sumu wewe huku ukitegemea afe mwenzio wakikukosea wewe potezea.
 
Wasamehe waliokukosea, sio kuwa wanastahili bali uweze kujipatia amani na utulivu. Jonathan Lockwood Huie
 
Back
Top Bottom