Msaada wa kupata link ya kupakua video za masomo

Desi P

Senior Member
Jul 31, 2017
150
77
Habari ya mchana wakuu. Bila kupoteza Muda Naomba niende moja kwa moja Kwenye hoja, mimi Naomba kusaidiwa link ya kupata video mbalimbali za masomo kama vile video ya kitabu cha Ngoswe, kilio chetu, Takadini na zile za masomo ya sayansi.
Nawatakia mchana mwema wakuu
 
Back
Top Bottom