Nawezaje kuunganisha simu janja (smartphone) na projector?

Nawezaje kuunganisha simu janja (smartphone) na projector?

Desi P

Senior Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
152
Reaction score
83
Samahani sana wakubwa.
Naomba kuuliza kwamba, je nawezaje kuunganisha simu janja (smartphone) na projector? Je ujanja gani nitumie ili niweze kuunganisha simu itumike moja kwa moja kwenye projector.
Samahan sana kwa usumbufu.
 
Integemea na aina ya simu na projector.
-kama simu ina mhl na projector ina Mhl utanunua tu mhl cable na kutumia.
-kama simu ina wifi na projector ina wifi na technology kama miracast ipo utaconect na wifi
-simu nyengine zina adapter za HdMi etc
 
Ahsante mkuu
 
Hiyo simu si baada ya muda utaua battery!?...
Nilikuwa mpenzi wa kuconnect simu na subwoofer or simu na Hotspot baadae nikakuta battery halikai na charge muda mrefu!..
External yangu tu nikiiconnect kwenye Tablet, Tablet haikai muda mrefu na charge tofuati na nikihamisha movie kwenye Tablet nikaangalia bila connect External throughout!.
Au ni matatizo ya battery tu!?.
 
Kitu chochote kinachofanya simu ipate joto kinaua battery. Katika hizo njia tatu hapo juu, hio ya kutumia adapter ndio bora zaidi kama lengo ni kutunza battery, hasa hasa ikiwa adapter inatumia umeme wake wenyewe. Kazi ya simu itakuwa ni kutoa signal tu,umeme kidogo wa battery la simu utatumika.

413QMCrMazL._AC_SY400_.jpg

Ukiangalia hio adapter utaona ina tundu la kuchomekea chaja ya simu, ili itumie umeme wa nje na sio wa simu.

Hata kwa hio external zipo cable ambazo power inatoka nje haili umeme wa simu ama tablet, sema ni adimu mitaani,ila zipo.
USB_OTG_cable_with_external_Micro-USB_power_connector_1.jpg

Kwenye hio micro usb female unachomeka chaja.
 
Back
Top Bottom