Search results

  1. kilambimkwidu

    Mwenye ufafanuzi juu ya picha hii ya Nyerere akiwa na watu wengine akiwemo Rais Mstaafu Mwinyi atujuze

    Wana Jamvi, Anayefahamu picha hiyo ilipigwa wapi, lini, kwenye tukio gani, wahusika ni akina nani anisaidie ufafanuzi. ==Okoa Bandari==
  2. kilambimkwidu

    Itifaki: Walinzi wa SUMA JKT wanamwaga saluti ovyo kwenye malindo hasa kwa wageni wanaoingia na magari

    Nimetembelea ofisi nyingi maeneo mbalimbali kwa utafiti mdogo niliofanya hawa walinzi wa Kampuni ya SUMA JKT wanapigia saluti wageni wanaoingia getini na magari. Gari likisimama getini anapiga saluti kwanza ndio anafungua liingie mara nyingine bila hata kujua ni nani yupo kwenye gari. Kwa...
  3. kilambimkwidu

    Eid ya Jumamosi imetangazwa Alhamis, mwezi mmeuona wapi na lini?

    Maandiko yanasema mkiuona mwezi ndio mtafungulia na Ramadhani itakua imeisha. Eid ya Jumamosi imetangazwa Alhamis, kivipi?? Swali fikirishi: Kwanini kuanza kwa mfungo hua hamtangazi kiholela mpaka muone mwezi ila Eid ya kufungulia mnataja tarehe hata kabla ya kuona mwezi? Wazee teteeni uongo...
  4. kilambimkwidu

    PICHA: DSTv wanakoleza mnyukano wa Mama na Sukuma Gang?

    Katika mazingira ya kawaoda usingetegemea katika filamu maarufu kama HUBA kuwa na muigizaji ambaye anavaa mavazi ya CCM na DSTV wakanunua filamu hiyo na kuionesha mfululizo bila kuwa na agenda iliyofichika. Ona hii: Katika hali ya kukoleza siasa ndani ya CCM, Dstv wanaonesha filamu ya HUBA...
  5. kilambimkwidu

    Wakati mtanange kati ya mahasimu England dhidi ya Iran ukiendelea TBC wanagonga mirindimo ya pwani

    Saa 10.20 jioni tarehe 21/11/2022 mechi kali ya Kombe la Dunia inaendelea, TBC waliojigamba kutuonesha mubashara michuano hiyo wanapiga "Aso hili ana lile".
  6. kilambimkwidu

    CRDB mjitafakari!

    Mteja anapokea fedha kwenye accounts yake fedha zinafika na kusoma lakini mteja hawezi kutoa. Mteja anafanya muamala, m.f, anatuma hela kwenda kwenye mtandao wa simu, ombi linapokelewa na kushughulikiwa hakuna feedback kama imefanikiwa au la. Mwingine anafanya muamala wa kutuma, hela inatoka...
  7. kilambimkwidu

    Ushauri: Anayeifahamu vizuri Toyota Prius

    Naomba ushauri wataalam. Nina bajeti ya Tsh 11.4 milioni nahitaji gari ya kunisaidia kwenye shughuli za mbalimbali. Kwa sasa nijihusisha zaidi na kazi ya udalali wa mifugo minada ya mkoa wa Manyara na Arusha
  8. kilambimkwidu

    Yanga: Soka sio "ngongingo na porojo za Manara"

    Leo wiki ya 'wananchi' imehitimishwa kwa burudani kedekede ikiwamo soka lenyewe. Vikosi vya yanga vimetinga uwanjani kupambana na vikosi pinzani, hii yote ni kunogesha shamrashamra na kudhihirisha Yanga walivojipanga. Hata hivyo tumegonga mwamba. Pamoja na usajili wa wachezaji na "mpiga zumari...
  9. kilambimkwidu

    Kauli ya IGP Sirro inafikirisha kuhusu mauaji ya Mwangosi na uonevu wa polisi

    Wakati huu Sirro anapaswa kua mnyenyekevu na kuongoza vikosi vyake kujitathimini na kujirekwbisha kwa mauaji na uonevu waliofanya dhidi ya 'raia wema'. Ni kweli na ni ukweli mtupu maisha ya polisi hayana thamani yoyote zaidi ya maisha ya raia. Lakini vipigo, uporaji, mauaji na dhukuma ndicho...
  10. kilambimkwidu

    Je, Januari hii umeshaingiziwa au bado? Kama bado ...

    Nimesikia wanaostahili wote wameshaingiziwa. Hii inamaana gani kwa wale ambao bado?
  11. kilambimkwidu

    Tangu nimelala juzi, saizi ndo naamka!

    Juzi ijumaa nilipata mtoto wa kikwere kutokea Bagamoyo. Nilimnywesha pombe akawa chakachaka...hata mimi nilikua najikaza nisilewe ili nikaimudu kazi vilivyo. Tukanywa mtoto akalewa nyakanyaka, nikarudi nae geto. Sikumbuki kilichoendelea ila leo ndo tumeamka kila mtu akiwa hoi. Bibie ndo hana...
  12. kilambimkwidu

    Vatican: Maoni ya Papa kuhusu wapenzi wa jinsia moja yamechakachuliwa kwa kuunganisha vimaneno

    Nukuu zangu:- "(Homosexuals have a right to be a part of the family. They’re children of God and have a right to a family. Nobody should be thrown out, or be made miserable because of it.” While the pope did say those words on camera, he did not say them in that order, or use those phrases in...
  13. kilambimkwidu

    Uiolewa ili kutafafuta unafuu wa maisha kila siku utalalamika kunyanyaswa

    Sikiliza, Mwanamke ukiona bado huwezi kujitegemea tambua kwamba bado haupo tayari kuolewa. Mume ni ziada katika maisha. Ili uolewe na ufurahie ndoa yako hakikisha umejipanga kimaisha wewe binafsi, usipeleke mzigo wa kudai huduma kama vile ndoa imekutia ulemavu. Kumtegema mwanaume kwa mahitaji...
  14. kilambimkwidu

    Nishauri kuhusu huu usafiri MAZDA Axela Sport 2004

    Haya, Wale wenye uzoefu nishaurini. Nimepambana kwa Mchina hapa, mwisho wa mwezi huu akinilipa mshahara ninataka kuvuta usafiri huu moja kwa moja kutoka JAPAN. MAZDA Axela Sport ya mwaka 2004 Vipi kuhusu: 1. Uimara wa gari (durability) 2. Performance (engine perfomance vs. fuel consumption)...
  15. kilambimkwidu

    Ukitaka kugombana na mwanamke wako mwambie tu afuate process

    Hawa watu ni too ambitious ila kwa bahati mbaya hawana katika maisha yao msamiati unaoitwa process. Akitaka kitu anataka leo leo, hapohapo wala hafikirii kinapatikanaje. Unaweza kuwa unaishi na mke wako kwenye nyumba ya kupanga, chumba kimoja tu na unakuta mnajibana kwasababu ya ugumu wa...
  16. kilambimkwidu

    Jipatie line: Tigopesa, m-pesa na airtel money zote kwa 300k

    Line za uwakala zinauzwa. Zipo Dar, mkoni unatumiwa. Tigo 150,000 Voda 150,000 Airtel 100,000 Njoo PM nikuunganishe na muuzaji. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. kilambimkwidu

    Serikali ya Tanzania imuombe radhi Lissu, wamfidie angalau Bilioni 100 yaishe

    Risasi 16 kutoboa mwili, haikua rahisi. Lissu hajafa, na sasa anayo ari zaidi. Amepania na anaungwa mkono na kundi kubwa la vijana na watanzania. Ni wakati muafaka serikali ya rais Magufuli imuombe Lissu wakae mezani, wamuinamie wamtake radhi kwa shambulio lile au kwasababu ya kuzembea wao...
  18. kilambimkwidu

    Kakobe: Kwanini hakutumia sauti yake ya mamlaka kumwambia Rais "Uchaguzi Usifanyike Jumapili"?

    Picha zahusika! Itakumbukwa kwamba Kakobe alichapishia wafuasi wake t-shirt zenye ujumbe "uchaguzi usifanyike jumapili" akipinga mchakato huo "wa kiserikali" kufanyika siku ya ibada. Alitaka uchaguzi ufanyike siku nyingine yoyote ya juma isipokua Jumapili. Mpaka kesho wafuasi wa Kakobe...
  19. kilambimkwidu

    Tujuzane utambulisho na vitambulisho vya mafisa wa vyombo vya ulinzu na usalama Tz

    Kuna siku moja nimesafiri, nilipanda bus linalotoka wilayani kwenda makao makuu ya mkoa. Nilikaa kiti cha mbele. Tulipokua tukiendelea na safari, tukiwa tumekaribia eneo la mji bus nililopanda lilisimamishwana trafiki. Tuliposimama alilizunguka bus letu kisha akaenda dirisha la upande wa...
  20. kilambimkwidu

    Hii ni aibu kubwa kwa vijana na viongozi wa kesho wanaolelewa na kupevuka chini ya siasa za kijamaa za Chama dola CCM

    Alipata kuandika Yericko Nyerere; mwanazuoni, mwanamkakati wa chama kikuu cha upinzani Tanzania Chadema na mchambuzi wa siasa za mataifa kwa mintarafu ya kijasusi (wa kidola na wa kiuchumi). CCM jitafakarini upya kwakua kuna kundi kubwa la vijana wanaotafta siasa zenye mvuto ili wafuate mkondo...
Back
Top Bottom