daudi mwangosi

Daudi Mwangosi (ca. 1972—September 2, 2012), was a Tanzanian television journalist for private Channel Ten, whom was killed in Nyololo village, Mufindi District, Iringa Region, Tanzania, during a demonstration by supporters of Chadema, the nation's opposition party.

View More On Wikipedia.org
  1. Oranoo

    IMAGE RECOVERY

    Hello habari zenu,kuna simu yangu imeharibika haiwaki kabisa nahitaji kuzipata picha na documents zangu, naomba mnijuze njia ipi nitumie nizirudishe maana sikusave kwenye Google Drive.
  2. kilambimkwidu

    Kauli ya IGP Sirro inafikirisha kuhusu mauaji ya Mwangosi na uonevu wa polisi

    Wakati huu Sirro anapaswa kua mnyenyekevu na kuongoza vikosi vyake kujitathimini na kujirekwbisha kwa mauaji na uonevu waliofanya dhidi ya 'raia wema'. Ni kweli na ni ukweli mtupu maisha ya polisi hayana thamani yoyote zaidi ya maisha ya raia. Lakini vipigo, uporaji, mauaji na dhukuma ndicho...
  3. Mtu Asiyejulikana

    Tumesahau alichofanywa Dkt. Ulimboka, Mwangosi na Said Kubenea. Nchi hii ni ya kinafiki sana

    Huwa nawatafakari sana Watanzania wa kizazi hiki wanaoimba kikwete alikuwa anapenda demokrasia. Najiuliza je Dr. Ulimboka au Mwangosi naye anasema hivyo hivyo Marehemu huyu? Najiuliza waliouawa kwenye chaguzi ya Igunga nao wanasema hivyo hivyo au lile bomu lililolipuliwa kule Arusha kwenye...
  4. Mag3

    Simshangai Pasco wa JF tu; hapana, nawashangaa waandishi wote wa habari popote pale mlipo nchini!

    Huyo hapo juu ni aliyekuwa mwandishi wa habari na mwakilishi wa kituo cha televisheni cha Channel Ten, mkoani Iringa, marehemu Daudi Mwangosi. Mwangosi, ambaye alikuwa pia Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Iringa (IPC), aliuawa kwa kupigwa na bomu na kusambaratisha mwili...
  5. Ex Spy

    Tanzania's Press Freedom ranking falls after journo killings

    By Elisha Magolanga The Citizen Correspondent Press freedom has shrunk considerably in Tanzania, with journalists and media houses finding it more difficult to do their work, according to the 2013 World Press Freedom Index. The country has dropped 36 places and is now ranked at number 70 of...
Back
Top Bottom