Nishauri kuhusu huu usafiri MAZDA Axela Sport 2004

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Jul 21, 2017
6,052
7,057
Haya,

Wale wenye uzoefu nishaurini. Nimepambana kwa Mchina hapa, mwisho wa mwezi huu akinilipa mshahara ninataka kuvuta usafiri huu moja kwa moja kutoka JAPAN.

MAZDA Axela Sport ya mwaka 2004

Vipi kuhusu:

1. Uimara wa gari (durability)
2. Performance (engine perfomance vs. fuel consumption) ulaji wa mafuta
3. Matengenezo (repair) na upatkanaji wa spea
4. Alternative car (mbadala wa hii kama upo, nichukue ipi?)

Bajeti yangu Dollar za Trump 3800 tu, ama milioni 9.5 Tz

Kilambim'
Screenshot_20190220-205605.jpeg
20190220_205238.jpeg
20190220_205305.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • 20190220_205155.jpeg
    20190220_205155.jpeg
    91.6 KB · Views: 75
  • 20190220_205450.jpeg
    20190220_205450.jpeg
    37.3 KB · Views: 94
Mazda gari nzuri sana na imara.. Changamoto yake ni spea ziko bei juu sana..
Kama uko vizuri kiuchumi chukua tu wala usiwe na shaka!!
 
Back
Top Bottom