Mwenye ufafanuzi juu ya picha hii ya Nyerere akiwa na watu wengine akiwemo Rais Mstaafu Mwinyi atujuze

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Jul 21, 2017
6,052
7,057
Wana Jamvi,

Anayefahamu picha hiyo ilipigwa wapi, lini, kwenye tukio gani, wahusika ni akina nani anisaidie ufafanuzi.

==Okoa Bandari==

Screenshot_20231101_160630_WhatsApp.jpg
 
Pichani ni Baba Wa Taifa JK Nyerere na aliyekuwa kiongozi wa PLO Yasser Arafat.
Pembeni wanaopiga makofi ni Rais wa pili wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi na aliyekuwa Waziri wa mambo ya Nje Salim Ahmed Salim.

Picha ilipigwa kwenye mkutano mkuu wa CCM Dodoma Oktoba 1987.
 
Hongera sasa....tena sana.
 
muhenga kwenye 1&2

Good
 
Safi sana
 
Kumbe Nifah ni wa kitambo, Kongole sana
 
Back
Top Bottom