Eid ya Jumamosi imetangazwa Alhamis, mwezi mmeuona wapi na lini?

Uislamu ni Imani sio pilau
FB_IMG_16820169960972304.jpg
 
Maandiko yanasema MKIUONA MWEZI NDIO MTAFUNGULIA NA RAMADHANI ITAKUA IMEISHA.... Eid ya Jumamosi imetangazwa Alhamis, kivipi??

Swali lingine: KWANINI MFUNGO HUA HAMTANGAZI KIHOLELA MPAKA MUONE MWEZI ILA EID MNATAJA TAREHE HATA KABLA YA KUONA MWEZI???

Wazee teteeni uongo wa mtume wenu
Haya mambo yanachanganya sana

Mbona enzi zetu hakukuwa na mkanganyiko kama sasa huko Bakwata

Mwaka jana ndio wengi tulishangaa zaidi mwezi umeonekana live lakini haikutangazwa Idi

Dini ilishachangamana na siasa ndio matokeo yake

Why mkanganyiko imekuwa mingi zaidi kuanzia miaka ya 2000
 
Na kuna haja gani Mufti abashiri siku ya Eid kabla haijafika...kwanini asiwe na subira mpaka auone mwezi ndio atangaze??

Niliwahi kusikia stori kuwa eti kumbe "mpaka JINI WAKE akimwambia ndo inakua Idd"
 
hivi umeshasahau mara moja hii tulitangaziwa mwezi ulionekana watu waamke na swaum?? sasa kama imamu hajauona mwezi wewe maamuma utampinga?? tunafunga kwa kuuona mwezi na kufungua kwa kuuona mwezi, ikatokea mwezi haujaonekana na tupo ramadhani ya 29 kama hivi kesho yake n swaum

ispokua siku inayofuata baada ya kukamilisha 30 za kufunga ni idi nanhaina haja ya kuangalia mwezi,
 
kumbe umesikia unatakiwa uprove
 
Hakuna logic yoyote hapo, Kiarabu hakikueleweka hicho

Tatizo linaanza kwa sheikh kuchaguliwa kwa kuwa bingwa wa ndagu miongoni mwa wasalishi....
 
Hawa watu kuna miezi ya kutenda dhambi, leo wamechukia eid kupelekwa mbele 😂😂😂 sasa mlilazimishwa kufunga kama sio unafiki
 
Hakuna logic yoyote hapo, Kiarabu hakikueleweka hicho

Tatizo linaanza kwa sheikh kuchaguliwa kwa kuwa bingwa wa ndagu miongoni mwa wasalishi....
sjaona mantiki yako ni ipi hasa, mimi nakuelewesha wewe umekazana, haya ngoja nikuache
 
poleni sana ndugu zetu waislamu, hii ndiyo nchi ya kusadikika inayoendeshwa kishirikina.
 
inaonekana mlikua mmeshapanga idi iwe kesho like una miad namtu halaf asitokee hasira zake sasa, poleni lakini n maamuzi unaweza kula idi yako kesho mbona, mara ngap answar wanakula idi kivyao na hawabugudhiwi na mtu?
 
Roma alishasena kuna watu sio wa kuwaamini maana mziki unazimwa wao bado wanakata viuno......haya na hao washaingia kwenye kundi la kutoaminika?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom