kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,207
- 7,364
Hawa watu ni too ambitious ila kwa bahati mbaya hawana katika maisha yao msamiati unaoitwa process. Akitaka kitu anataka leo leo, hapohapo wala hafikirii kinapatikanaje.
Unaweza kuwa unaishi na mke wako kwenye nyumba ya kupanga, chumba kimoja tu na unakuta mnajibana kwasababu ya ugumu wa maisha. Lakini usishangae jioni unarudi kutoka kwenye michakato yako anakwambia ununue gari kama la baba flani yeye amechoka kupanda daladala.
Hua wanababaika sana na mafanikio ya watu bila kujali hao watu walipitia mchakato gani kufikia pale walipo. Wanapenda vitu vifanyike na viwe overnight. Yani alale halafu aamke tu bwaaaa nae ni mke wa tajiri mkubwa sana!
Sasa Mtu kama huyo jifanye unamuelewesha hali halisi ya maisha kwamba ni lazima mpitie shida kabla ya kupata mafanikio....anaenda kwa mchungaji kukuombea roho ya shida ikutoke.
Sent using Jamii Forums mobile app