Search results

  1. Meritta

    Una Hamu? fungua hapa........

    "Una hamu nikumchambeeee nikikuchamba utaliaaaa" "una hamu nikusemeeee nikikisema utazimiaaaaa" jamani hiki nikipande tu cha wimbo wa taharabu wa jahazi. dah ulifikir nn? utasonyajeeee!
  2. Meritta

    Daladala

    Jamani vp jpili inasemaje? tuichangamshe siku yetu kwa kujikumbusha yale maneno yanayoandikwa nyuma ya dala dala zetu, vipo vijineno fla fla na mafumbo mbali yanafuraisha yanaandikwa nyuma ya daladala zetu. *mganga haagizi mchicha. *hapa stori tu kula kwenu. *.......... haya ni bahadh tu...
  3. Meritta

    Duuh yamenikuta!!.

    Wanajf wenzagu, yamenikuta usiku huu hapa hata lepe la usingiz sina labda mkinisaidia japo mawazo yenu tu labda nitalala. shemeji yenu yaan hapo namaanishisha mwenza wangu... yaani nadhan mmenipata. Anasema kuwa kila akiongea na mimi anazidi kuboreka, au neno lingine ni kuwa mimi namboa kila...
  4. Meritta

    Ni ndugu yako!

    hi wanajf, kiukwel niliwakumbuka sana. kutokana na avater na majina ya ubinifu tunayoyatumia inawezekana ukawa hujamjua mtu halis unachat nae hapa jamvin. sasa leo napenda kukupa nafasi ya kuhis nani ndugu yako rafiki, au mume/mke kwa kupitia comments au thread anazozitoa hata kama...
  5. Meritta

    Mawazo!!

    Habari za jion memba, Katika dunia yetu mi naamini hakuna mwanadamu ambaye anaweza kupita siku au masiku bila yeye kuingia katika dibwi la mawazo. wengine ya kawaida sana, wengine ni yako magumu mpaka anafikia hatua ya kutaka kuchanganyikiwa, na pia mimi naamin watu wanatumia njia mbalimbali...
  6. Meritta

    Usiku

    mi wana jamvi kuna swali najiuliza maana huwa naona wapenzi wengi wanapenda kuongea kwa simu na wapenzi wao usiku. sasa swali usiku ndo muda wa bure, malavidavi ndo yananoga au usiku una nini kwa wapenzi kuongea kwa simu?
  7. Meritta

    Hivi hakauna superstar

    vini ni kweli kuwa tanzania yetu hakuna msanii katika tasina yoyote ile aliyofika level ya usuperstar kwa maana ya kutambulika kimataifa na kazi yake kujulikana kimataifa
  8. Meritta

    Kulipa fadhila kunamkondesha

    Kuna best(msichana) rafiki pia ni ndugu kwangu, alikuwa na mpenz toka yeye akiwa kidto cha tano na uyo mkaka anafanya kazi sehemu fulani hivi, yule mkaka alikuwa msaada mkubwa kwa uyo binti ile sana kwa kuwa uyo binti hana wazazi na pia uyo kaka anampenda na anasaidia uyo binta mpaka sasa...
  9. Meritta

    Sina rafiki

    HI wana jamvi ni kipindi kirefu kidogo sana nilikuwa mabali kidogo na ninyi dungu zangu, ila niko safi na pia matumaini na ninyi mpo safi pia tatizo langu linalonofanya niwaze kwa sana ni kuwa sipata rafiki best wa kuwa nae wakat wote namaanisha shida na raha. wakat niko shule ya msingi...
  10. Meritta

    Hitaji nini....

    habar zenu wapendwa wangu wa hili jamvi tamu la jf, matumain mpo poa mi pia niko bomba niliwakumbuka sana Issue ni kuwa kuna jambo huwa linanitatiza kidogo hapa kuwa mapenz huwa yanahitaji nn jaman,msichana anaweza kumuacha mwenye pesa kwenda kwa fukara, mvulana anaweza kumuacha msichana mzuri...
  11. Meritta

    Unajua kama kuna mwenzio!

    we mwanaume umekutana na mwanamke ukampenda, ilivomwambia akakujibu kuwa ana mtu, siku zimepita kidogo akaja kuvutiwa na ww pia hivyo akakukubal. mapenz yenu yamenoga sana mpaka msichana akataka kumuacha mpenz wake wa mwanzo.kabla hajatimiza azma yake ya kumwambia mpenz wake wa zaman waachane...
  12. Meritta

    Mama na Bintie.

    mama kamfokea mwanae kwa kuwa aligundua kuwa mwanae kacherewa kubikiriwa na alikasirika san siku hiyo, pia kuanza kumuuza kwa wanaume pia alikuwa anaenda nae kwenye viwanja mbal mbali. pia mwanae akifumaniwa na kupigwa amekuwa akimuombea msamaa kwa kwa wapenz wake, kiukwel binti yake ni mdogo...
  13. Meritta

    Simuelewi

    hi wana jf,nina mpenzi wangu tuliyedumu miaka mitano sasa but kwa kipindi hiki simuelewi amebadilika,ananfanyia visa mara ohh mimi namdharau na muona boya,simpend but kiukwel nampend na sijawai kumdharau kibaya zaid anamwambia rafki yang mimi na yeye it over,me mwenyewe hajaniambi zaidi ya...
  14. Meritta

    Mungu ameumba!!!!

    jamani mi ninachoamini ni kuwa Mungu kaumba vitu kwa mfano wake, pia kaumba vitu ili mwanadamu atumie na kufurahia. ila katika suala zima la mapenz sijui nini kinatokea na ndo maana naomba msaada kwenu. Katika iman yangu mi naamin kuwa hata suala la mapenzi na ndoa mungu ameifanya na kuibariki...
  15. Meritta

    Shemeji mh mh...

    Inakuaje wana mi niko poa naamini na ninyi mko safi na Mungu ashukuriwe kwa hilo. Ishu ni kuwa kuna mkaka aliyekuwa shemej yangu kwa ndugu yangu ila kwa bahati mbaya wameachana siku za ivi karibuni, Katika kipindi cha mahusiano yao mi nilikuwa mtu wao wa karibu sana katka...
  16. Meritta

    Jamani nisaidieni

    Hi wana jamvi, mi mwenzenu nina tatizo kidogo naombeni mchango wenu wa mawazo. Ni binti, mtoto wa marehem shangazi tumeishi naye toka mdogo tulipendana sana na hatukuwai kumbagua. ivi majuzi alipata kazi mkoani dodoma uko alianza mawasiliano na mwanaume na alianza kumpenda ila hajawai...
  17. Meritta

    Tatizo Nini

    Mambo niaje wana jamvi, kuna kitu ningependa tuchangiane mawazo.ivi inakuaje mpaka mtu anapoteza ladha aliokuwa anaipata kutoka kwa mpenzi wake. Hapa nina maana kuwa msichana au mvulana kutokuwa na hisia za kimapenzi juu ya mpenziwe. kuna ndugu yangu ameniambia kuwa siku izi amekuwa hana hisia...
  18. Meritta

    Ni ndoto tu.

    Hi wana jf, mi mwenzenu mara kwa mara huwa najiuliza ivi ikatokea kuwa aya maisha uliopo sasa ni ndoto tu na wewe kiualisia ni mtoto wa miaka mitano umelala ndo umeota maisha ulionayo sasa kama ww ni doctor,mwalimu,mwanachuo,polisi,mkabaji, mpigadebe nk. yote ni ndoto tu na ww ndo...
  19. Meritta

    Hi wanaJF

    Wapendwa, wanajamvi..... Nafurahi, hatimaye nmepata nafasi ya kujumuika nanyi. Tuendelee kuwa pamoja.
Back
Top Bottom