Usiku

Meritta

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
1,303
292
mi wana jamvi kuna swali najiuliza maana huwa naona wapenzi wengi wanapenda kuongea kwa simu na wapenzi wao usiku. sasa swali usiku ndo muda wa bure, malavidavi ndo yananoga au usiku una nini kwa wapenzi kuongea kwa simu?
 
Ukikua utaelewa......
 
Swali lako ni rahic sana kama ikikutokea ukampigia mpnz wako simu usiku akawa hapokei au haipatikani kwa wiki moja tu,yani kila ikifika saa moja usiku ukimpigia hapokei au haipatikani,alafu ukimuuliza anakuuliza na ww kuwa kwan kuna umuhimu gani kwa wapenzi kuongea kwa simu usiku c tulishaongea mchana! kwa namna utakavyokuwa unajickia kila asipopokea au hapatikani usiku ndipo jibu lilipo.
 
kwa hiyo unataka kusema kuwa usiku maongezi ndo yananoga au
 
Nikirudisha mawazo nyuma wakati huo,nilikua hivyo coz nakua nimetulia!
 
Jamani Ma'swagga! Usiku ndio mambo yananoga hvyo....
Usiku ni mda muafaka sana kwa wapenzi na hata kutulia tu kifamily....
Tushirikishane xperience.... Kwanini wewe unafanya usiku?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom