Mama na Bintie.

Meritta

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
1,303
293
mama kamfokea mwanae kwa kuwa aligundua kuwa mwanae kacherewa kubikiriwa na alikasirika san siku hiyo, pia
kuanza kumuuza kwa wanaume pia alikuwa anaenda nae kwenye viwanja mbal mbali. pia mwanae akifumaniwa na kupigwa amekuwa akimuombea msamaa kwa kwa wapenz wake, kiukwel binti yake ni mdogo sana na baba wa bint alikuuwa akimtegemea bint uyo kuwa ataikomboa
familia lakn mama kachangia kumuharibu huyo mtoto. majiran wanashanga kuwa huo ni utandawaz au ndo kumpenda mtoto aendane na mambo ya kisasa, wana jamvi naomben mchango
 
Huyo mama ni mpumbafu sana, nadhan enzi za ujana wake ndio yalikua mambo yake huyu mama! Anafanya vyote hayo ili apate mrithi wake. Kweli akili kumkichwa!
 
Huyo mama ni mpumbafu sana, nadhan enzi za ujana wake ndio yalikua mambo yake huyu mama! Anafanya vyote hayo ili apate mrithi wake. Kweli akili kumkichwa!
ila mume wake nae pia anachangia kwa kias kuacha mam amuongoze bintie kwenye njia mbaya,
 
Aiseeeee!Inawezekana huyo mama hazipo zote!Au labda wana shida sana!
 
Sijaelewa kidogo, kama baba anategemea binti aje kukomboa familia, vije binti na mamaye wanaenda viwanja pasi na baba kujua?

Kama wewe ni jirani yao unaweza kumweleza huyo baba juu ya hilo..

Kama baba naye anahusika na hayo, basi wote wamepotea! Labda mumshauri huyo binti tu..kwani yu how old binti?
 
Back
Top Bottom