Hitaji nini.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hitaji nini....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Meritta, Jul 30, 2011.

 1. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  habar zenu wapendwa wangu wa hili jamvi tamu la jf, matumain mpo poa mi pia niko bomba niliwakumbuka sana
  Issue ni kuwa kuna jambo huwa linanitatiza kidogo hapa kuwa mapenz huwa yanahitaji nn jaman,msichana anaweza kumuacha mwenye pesa kwenda kwa fukara, mvulana anaweza kumuacha msichana mzuri na kwenda kwa ngumbaru, masikin wakiachana tunasema pesa, matajiri je huwa nn? na pia wasichana wazur huwa mara nyingi hwadumu na wapenz, wapo maskin wa kike kwa waume wanaopendwa na matajir, sielewi hili jaman naombeni ufumbuzi kidogo kuwa mapenz au hili yadumu yanahiaji kuwepo na nn
   
 2. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mapenzi hayana utabiri aisee,yafurahie yanapokuwa upande wako to the maximum na ujutie yakisepa
   
 3. Salma osman

  Salma osman Senior Member

  #3
  Jul 30, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  thats why love is blind
   
 4. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Mapenzi ni sawa na majani huota popote.
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Jul 30, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  ni kawaida kwa watu hufuata instinct zao
  na kutafuta secure environment
  lakini baadaye mtu akipata alichokuwa anatafuta
  (mfano beauty, money etc...)
  na kuona ndicho lakini sicho
  hutoka na kwenda kutauta upendo......
   
 6. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  yani wewe unahitaji lecture ya siku nzima ndo upate japo clue ya mapenzi.
  hata hivyo mapezi hayafundishwi, ni maisha flani ambayo ni very automatic.
   
 7. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  "Ni UPENDO tu"
   
 8. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  upendo,kuheshimiana na kuondoa ubinafsi
   
 9. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mh ngum kumeza iyo
   
 10. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  dunia ya sasa ni vigumu kupata mapenz ya kwel
   
 11. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  asante
   
 12. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hilo nalo neno
   
 13. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Enjoy to the fullest when ur in love hakuna cha kujiuliza hapo,penda unapopendwa, usiforce itakucost
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  Jul 31, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280

  kwa asilimia fulani nakubaliana nawe..
  lakini saa nyingine ni mawazo yetu tu ...
  tuko Negative muda mwingi na hiyo inachangia
  kuto kupata tutafutacho.....
   
 15. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #15
  Jul 31, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Don't force love,listen to your heart
   
 16. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #16
  Jul 31, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Sio wote waliopo katika mapenzi wapo kimaslah, kuna wengine wapo ktk mapenzi yenye ukweli wa mapenzi. Yatupasa kutambua kuwa kuna wakati watu huamua kuhama toka mapenzi ya anasa na ufahari, yasiyo ya kweli kwenda kwenye mapenzi ya ufukara, mapenzi yenye maisha ya shida na umasikini mkubwa kwa kufuata mioyo yao. Watu wa aina hii dhahiri wanapendana, they are realy in love!
   
Loading...