Daladala

Meritta

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
1,303
292
Jamani vp jpili inasemaje?
tuichangamshe siku yetu kwa kujikumbusha yale maneno yanayoandikwa nyuma ya dala dala zetu, vipo vijineno fla fla na mafumbo mbali yanafuraisha yanaandikwa nyuma ya daladala zetu.
*mganga haagizi mchicha.
*hapa stori tu kula kwenu.
*..........
haya ni bahadh tu mengine nikumbusheni nyie wenzagu.

Jumapili njema!.
 
kuna kigar flam mtaan kwetu kimechokaa afu ni pegiot ya zaman. yan ukikiangalia tu lazma ugune. bas kimeandika "BABA YAKO ANAYO" very funny hahahahaaa!
 
teh teh na kweli vigar vingi vibovu vinaandikwa hivyo
 
Kuna 1 limeandikwa "kufika c lazima...lingine "kiboko ya maziwa-sidiria...na land-rover 108 yale ya kizamani limeandikwa "babu yake 110! J2 njema...nb man city 1 new castle 0 mbungi inaendelea
 
Jamani vp jpili inasemaje?
tuichangamshe siku yetu kwa kujikumbusha yale maneno yanayoandikwa nyuma ya dala dala zetu, vipo vijineno fla fla na mafumbo mbali yanafuraisha yanaandikwa nyuma ya daladala zetu.
*mganga haagizi mchicha.
*hapa stori tu kula kwenu.
*..........
haya ni bahadh tu mengine nikumbusheni nyie wenzagu.

Jumapili njema!.

1. Sura siyo roho.
2. Unga robo usicheze mbali.
3. Siraha ni hela kisu mzigo
4, Ubishoo bila hela sawa na kuwa na upara bila elimu
 
...kudadeki nipo kwenye hiace imejaza...kunajamaa kainama makalio yake puani kwangu....

....cjui imeandikwaje. Nkishuka nasoma....
 
Hahahahaha pole sana mkuu...
Ziandae pua kwa tukio la kihistoria hahahaha...
Tupe signature ya hicho kipanya
 
...kudadeki nipo kwenye hiace imejaza...kunajamaa kainama makalio yake puani kwangu....

....cjui imeandikwaje. Nkishuka nasoma....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom