Una Hamu? fungua hapa........

Una Hamu? fungua hapa........

Meritta

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2011
Posts
1,303
Reaction score
295
"Una hamu nikumchambeeee nikikuchamba utaliaaaa"
"una hamu nikusemeeee nikikisema utazimiaaaaa"
jamani hiki nikipande tu cha wimbo wa taharabu wa jahazi. dah ulifikir nn? utasonyajeeee!
 
Ngoja Bagah aje akujibu kwa ile Taarabu ya Asili ya akina Siti Binti Saad... Just wait there!
 
Najua nikikupa utalewa!
......... Utanogewa!
Nitakuja best, nilikuwa napita njia tu!
 
duh, nimekimbilia hapa nilidhani unanadi tango lako.

Napita!
 
"Una hamu nikumchambeeee nikikuchamba utaliaaaa"
"una hamu nikusemeeee nikikisema utazimiaaaaa"
jamani hiki nikipande tu cha wimbo wa taharabu wa jahazi. dah ulifikir nn? utasonyajeeee!


Daaah nilifikiri ni swaga ya kibajaji labda katoa single nyingine!!!!!

Hata hivyo ni kweli nimesonyaje???????
 
Hivi sonyo linaandikwaje??

Maana kuchumu ni "mmwwaahh"

Kutema mate ni "ptchuuuu"

Kusonya jee??

Nikiipata hiyo nitarudi hapa nije nikumwagie sonyo.........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom