Duuh yamenikuta!!.

Meritta

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
1,303
292
Wanajf wenzagu,
yamenikuta usiku huu hapa hata lepe la usingiz sina labda mkinisaidia japo mawazo yenu tu labda nitalala.
shemeji yenu yaan hapo namaanishisha mwenza wangu... yaani nadhan mmenipata. Anasema kuwa kila akiongea na mimi
anazidi kuboreka, au neno lingine ni kuwa mimi namboa kila nikiongea nae, yaani mimi namkera kila nikiongea nae. jamni simuelewi huyu mtu ndo visa tu au kunamwenzagu kamdatisha au vip. nipeni japo mawazo kidogo ili nilale mwenzenu.
 
duh...kweli huyo goma waukweli amekupa kavu kavu....mwana wee paki vilago vyako. hakutaki tena
 
kwanza shukuru kakuambia,coz asingesema usingelijua hilo.hilo linawezekana kwasababu tulio wengi hatuna lugha nzur kwa wapenz wetu/mume/mke hasa ukishakuwa umemzoea sana.hebu jaribu kujichunguza wap unakosea kabla hujavusha mawazo ya kishetan
 
Mbembeleze alale huyo! Ni mambo ya kawaida tena ktk mida hii! Yawezekana anataka kukunyima tamuu!
 
hiyo sio suluu ya tatizo:A S 13:

Space/break ni muhimu sana katika mahusiano. inasaidia ku-kindle/stir up/excite the relationship. ndo maana hata kisafari cha wiki moja kwa mmoja wao ni muhimu mara kwa mara mmisiane kidogo. Pia itawapa hao wenzi nafasi ya kujitafakari upya.
 
Wanajf wenzagu,
yamenikuta usiku huu hapa hata lepe la usingiz sina labda mkinisaidia japo mawazo yenu tu labda nitalala.
shemeji yenu yaan hapo namaanishisha mwenza wangu... yaani nadhan mmenipata. Anasema kuwa kila akiongea na mimi
anazidi kuboreka, au neno lingine ni kuwa mimi namboa kila nikiongea nae, yaani mimi namkera kila nikiongea nae. jamni simuelewi huyu mtu ndo visa tu au kunamwenzagu kamdatisha au vip. nipeni japo mawazo kidogo ili nilale mwenzenu.

Tatizo ni mazungumzo tu au hata hayo mengine humchangamshi? Basi angalau hilo moja linaweza likambakisha!
 
jbu la senetor zuri mpge aliye kdogo afu ubembeleze kwa ufundi,je yupo hapo?au umebugia mipombe hvyo domo linatoa maarufu kama kiwanda cha samadi!
 
Wanajf wenzagu,
yamenikuta usiku huu hapa hata lepe la usingiz sina labda mkinisaidia japo mawazo yenu tu labda nitalala.
shemeji yenu yaan hapo namaanishisha mwenza wangu... yaani nadhan mmenipata. Anasema kuwa kila akiongea na mimi
anazidi kuboreka, au neno lingine ni kuwa mimi namboa kila nikiongea nae, yaani mimi namkera kila nikiongea nae. jamni simuelewi huyu mtu ndo visa tu au kunamwenzagu kamdatisha au vip. nipeni japo mawazo kidogo ili nilale mwenzenu.

Muombe msamaha kwa kumwambia kuwa haukufahamu kuwa uwepo wako na mazungumzo yako yanamkera then kwa upole na utaratibu muombe akuelezea nini hasa kinachomfanya akuone unamboa. Kisha muombe ushauri wa nini unachotakiwa kufanya ili usim-boe mwenzio.
Pole ni mambo ya kawaida ktk mahusiano
 
pole
maana yake anahitaji break
peaneni space kwanza
]

Kumradhi The Boss....lakini nachukia sana hiyo 'kupeana space'! Katika miaka yangu yote ya relationships, it happened twice tena kwa wanawake ambao niliwapenda kweli...it has never worked! Mkipeana space yaani ndio uanze, kama unafikiria you will get a second break sahau! Atleast from my experience...bora uteme tu mzigo ujue moja, uumie, uugulie, upone, maisha yaendelee...kuliko kubaki na matumaini labda something good will come..and never will, unaumia kimoyomoyo tu kila siku tu...a coward die 1000 times, but a soldier die once (Tupac Shakur)!
 
Msemeshe kibubu kama hataki kusikia unaongea uone kama hajacheka, afu ngoma inakuwa super kabisa baada ya hapo.
 
ni matatizo ya ndoa za watu wenye umri wa miaka ya 40s
kila mtu ni mbabe,
na kila mmoja ana mega /megwa nje,
vumilianeni tu yatakwisha.
 
Wanajf wenzagu,
yamenikuta usiku huu hapa hata lepe la usingiz sina labda mkinisaidia japo mawazo yenu tu labda nitalala.
shemeji yenu yaan hapo namaanishisha mwenza wangu... yaani nadhan mmenipata. Anasema kuwa kila akiongea na mimi
anazidi kuboreka, au neno lingine ni kuwa mimi namboa kila nikiongea nae, yaani mimi namkera kila nikiongea nae. jamni simuelewi huyu mtu ndo visa tu au kunamwenzagu kamdatisha au vip. nipeni japo mawazo kidogo ili nilale mwenzenu.

Pole ndo midume hiyo. Atakuwa kapata kitu huyo, wewe mchunie tu mpe hi kama kawaida na mkubari tu akufanyie anayokufanyia now. Wewe akienda job msms TAKE CARE! Na akiwa anatoka job do the same. Hpe atakuwa anajishitukia na atagundua anafanya makosa
 
I bet this works! Hata mkipeana space bila kujua unam-boa vipi mwenzio haitakusaidia. Muhimu ni kuzungumza kwanza, kisha mtafute sababu ya kuwa mbali kiasi kama mfano safari. Kama kazi zenu haziruhusu kusafiri mmoja achukue likizo (huyo anaekuwa bored) na apate fresh air hata kwa wazazi ama holiday alone. Mkirudi kila mtu atakuwa anajifikiria tofauti.
Pole, ndoa zina mambo mengi ndugu. Utapita tu upepo m'baya huo!

Back
Top Bottom