Ni ndoto tu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni ndoto tu.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Meritta, May 21, 2011.

 1. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hi wana jf,
  mi mwenzenu mara kwa mara huwa najiuliza ivi ikatokea kuwa aya maisha uliopo sasa ni ndoto tu na wewe kiualisia ni mtoto wa miaka mitano umelala ndo umeota maisha ulionayo sasa kama ww ni doctor,mwalimu,mwanachuo,polisi,mkabaji, mpigadebe nk. yote ni ndoto tu na ww ndo unashtuka toka usingizini unajikuta bado upo miaka mitano je utataman maisha yangeendelea hivyo au ungeshukuru kuwa ni ndoto tu ili urekebishe baadhi ya makosa uliyoyafanya kipindi cha maisha ya ndotoni.....
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Ya kwako wewe tu.....

  Wenzio its a goodlife
   
 3. CPU

  CPU JF Gold Member

  #3
  May 21, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Inategemea umeota nini
  Mi kuna kipindi niliota nipo na dada angu tunaongea.
  Mara dada akaenda ktk droo akavuta dawa kama za aina 3 tofauti ili ameze
  Sasa wakati anaenda ktk friji achukue maji, mi nikavizia nikachomoa dawa fulani nilizoona zinafanana na dawa za kichwa then nikameza.

  Baada ya nusu saa nikaanza kujisikia ovyo ovyo. Ikabidi nimuulize dada kiusanii zile dawa zilikuwa za kutibu nini ??
  Yeye akanijibu hazinihusu, niziache. Nikazidi kumbembeleza aniambie akaniuliza "unataka kumeza ??"
  Nikamjibu nataka nijue tu ili siku nikiumwa nikazinunue.
  Akacheeeeeka, halafu akajibu "HIVI NA WEWE UTAKUJA KUPATA MIMBA???"

  Sasa unafikiri nitapenda au nishukuru kuendelea na ndoto kama hiyo ya kumeza vidonge vya mimba???
   
 4. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Hii unayoongelea pia ni ndoto.
   
 5. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  usisahau pia kuwa nina ndoto yako.........
   
 6. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Dah! ndio nini lakini Wiselady? yaani hapa leo nilisema kama hukutokea basi mimi nauza laptop na haina haja tena kuingia JF.
   
 7. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hahaha!nilikuwa ndotoni,,hapa nimezinduka baada ya kukukosa muda nakuhs nina malaria nahtaji tiba
   
 8. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hapo ndo umejikuta na miaka mitano sijui itakuaje
   
 9. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Amin nakwambia umepona! fumba macho sekunde kadhaa ukiona mtu kavaa suti jeupe kwenye imagination yako ujue ndo mimi. Sasa ulikuwa wapi? mwenzio niligoma kukoga wiki nzima, kuonesha msisitizo wa kukukosa.
   
 10. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  We ndoto yako naona ina makubwa zaidi.
   
 11. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Kwanza ningejawa na furaha kubwa maana ningekuwa mtoto mdogo, ila ndoto nilizoota zimenikomaza akili mpaka ikawa kama ya mtu mzima......maendeleo yangekuja haraka kwangu
   
 12. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Itaboa kweli kama umeota umepata maendeleo ya haraka na umefanikiwa kimaisha ila unakuja kugundua kuwa ni ndoto.
   
 13. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #13
  May 21, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Itaboa kweli ikiwa utaota umepata maendeleo ya haraka na umefanikiwa kimaisha ila unakuja kugundua kuwa yote ni ndoto tu.
   
 14. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Kuna vitu ningeshukuru kuwa ndoto; lakini vingine ningeumia; mf ningeumia kuwa mtoto wangu nimpendae ambaye is the best thing that has happened to me is just a dream! N honestly nikipima uzito; ningeumia kuwa it is just a dream; kwa maneno mengine; l am happy the way l am and l thank God for that!
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  May 22, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,805
  Likes Received: 83,182
  Trophy Points: 280
  Mie nitaomba ndoto yangu iendelee tu...namshukuru Mungu.
   
 16. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #16
  May 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  "Ma'swagga"
  Yaani nimefurahi sana kuona hii sred, sababu mara kadhaa nimewahi kujiuliza hicho kitu.
  Kuna circumstances katika maisha ziwe nzuri au mbaya unaweza kutamani hicho kitu kiwe ndoto tu,
  Yaani kama ni kizuri, unatamani ndoto isiishe na kama mbaya unatamani iwe ndoto ili urudinyuma urekebishe.
  Ila vyovyote vile, nakumbuka wimbo wa "Faith Evans" unaitwa "Again"
  Nadhani hata nikishtuka nikajikuta ndio ninamiaka 5, kila kitu nitafanya hivihivi tu sababu kwa kufanya hivi ndio kumenifanya niwe hivi nilivyosasa, ambapo bado ninamengi ya kujivunia na tayari nina mengi ya kujifunza..... kwamba siwezi kuufikia u-mr perfect.
  Hahahahaha Ma'swagga.... I'll do it "again" shosti.​
   
 17. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #17
  May 22, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Another BUJIBUJI
   
 18. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #18
  May 22, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Umeangalia movie iitwayo INCEPTION? Directed by Christopher Nolan Starring Leonardo DiCaprio, Joseph Gordon-Levitt, Ellen Page.
  Dont worry, unaota ndoto ndani ya ndoto,...enjoy it!
   
 19. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #19
  May 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  ikiwa ni ndoto na narudi kwenye mwaka wa 5 kama ndio hivyo basi mpaka sasa Nyerere Raisi
   
 20. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #20
  May 22, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180  Precisely....
   
Loading...