Ni ndugu yako!

Ni ndugu yako!

Meritta

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2011
Posts
1,303
Reaction score
295
hi wanajf, kiukwel niliwakumbuka sana.
kutokana na avater na majina ya ubinifu tunayoyatumia inawezekana ukawa hujamjua mtu halis unachat nae hapa jamvin. sasa leo napenda kukupa nafasi ya kuhis nani ndugu yako rafiki, au mume/mke kwa kupitia comments au thread anazozitoa hata kama hujamfaham vizur.
 
Kuna watu nahisi nawajua....
Lizzy!
Excellent huyu hivi karibuni alikuwa na soo mitaa ya kati!
Wengine nitaendelea kuwatambua hapa
 
sitaki kujuana na yeyote
ila kuna mmoja ananivutia kumjua japo sitaki kumjua.
 
Mi nilishamhisi ndugu yangu na kumuibukia.
Sasa hivi tukitaniana humu watu wanadhani tuna ugomvi.

nilishasema kuwa mimi na wewe hatuna undugu wala utani.
Chochote ninachosema juu yako ninakimaanisha na kinatoka ku-moyo.
Acha kujifanya unapotezea!
 
sitaki kujuana na yeyote
ila kuna mmoja ananivutia kumjua japo sitaki kumjua.

Aaahh acha bibie bwana.. hebu jiachie tu au unaogopa PM afu vidume vije na GX 50 lol!!!??
Afu unafafa na "kazi" yangu ya kijijini... kitambo sana
 
ha ha ha
anaweza akaja na GX0.0000012
afu nikashindwa kuvumilia

wakati mie mtoto wa fisadi nina sports hammer

hahahahaha
Jamaniii Sports Hammer??
Akha mwenzangu, mi nataka lift kwenye huo mgari...
ila serious "Kong..." hiyo avartar yako mi hoi, full kunikumbusha yule binti wa kisarawe....
niruhusu niruke PM
 
nilishasema kuwa mimi na wewe hatuna undugu wala utani.
Chochote ninachosema juu yako ninakimaanisha na kinatoka ku-moyo.
Acha kujifanya unapotezea!
kumbe we na lizzy ndugu nilikuwa sijui
 
Back
Top Bottom