Search results

  1. F

    Tanzania na Fedheha ya Maalbino: Wasemavyo huko Ughaibuni

    Hivi kweli serikali imeshindwa kuzuia hii fedheha? Ni kweli intelligensia ya nchi hii ni hafifu kiasi hicho au kuna nini hapa? Hebu someni hii makala na baadhi ya maoni ya wasomaji. Ni aibu kubwa, na viongozi wetu wanapokwenda huko Ughaibuni wajue watu wanawaonaje. Makala yenyewe hii hapa...
  2. F

    CHADEMA kuwakataa viongozi wa CCM

    CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetangaza rasmi kusitisha kuwapokea viongozi wa ngazi zote watakaohama kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) na vyama vingine, baada ya kutemwa katika kura za maoni kwa lengo la kutaka kuwania nafasi za uongozi ndani ya chama hicho. Mwenyekiti wa Taifa...
  3. F

    Bajeti ya Serikali 2012/13 (Kiswahili)

    I UTANGULIZI: 1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu liweze kujadili na kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2012/2013. Pamoja na hotuba hii, nimewasilisha vitabu vinne vya Bajeti vinavyoelezea takwimu mbalimbali za...
  4. F

    Vodacom wamelipa kodi serikalini shs 700 billion?

    Kuna habari Michuzi blog inasema hivi: "Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw Rene Meza akieleza jinsi Vodacom ilivyochangia zaidi ya shilingi billion 700 katika malipo ya kodi ya serikali alipokutana na waandishi wa habari mjini Dodoma". Tarehe 28/08/2011 Waziri Mkuu Mizengo Pinda...
  5. F

    Wawekezaji wanashikilia uchumi kwa asilima 90

    PAMOJA na Tanzania kupanua wigo wa ukuaji wa uchumi, imebainika kwamba asilimia 90 ya ukuaji huo umeshikiliwa na wawekezaji kutoka nje ya nchi. Hayo yalibainishwa juzi jijini Dar es Salaam na Mhadhiri Msaidizi wa Chuo cha Diplomasia, Abdallah Majura, alipozungumza na Tanzania Daima wakati wa...
  6. F

    Prof Maghembe ataua kilimo nchi hii

    Sijui nitumie maneno gani, lakini naomba niseme kama kweli wabunge wa CCM na serikali yake wanataka kuinua kilimo basi LAZIMA Prof Maghembe aondoke kwenye hii Wizara. Hana jipya, na wala haelewi nini anatakiwa afanye ili kunusuru kilimo. Ni aibu kuendelea kumuweka huyu Prof kwenye hiyo wizara.
  7. F

    Nashauri Naibu Speaker Job Ndugai aongoze kikao cha bunge kesho

    Kesho tarehe 23 April 2012 ni siku muhimu na ngumu kwa bunge letu. Lakini kwa kuangalia uwezo na record kati ya Speaker Anne Makinda na naibu wake Job Ndugai, nashauri naibu speaker angoze bunge kesho. Sababu kuu ni hizi: Job Ndugai 1. Job Ndugai anaonekana kuzijua kanuni na taratibu za bunge...
  8. F

    Jaji Mkuu: Serikali inaingilia uhuru wa Mahakama

    JAJI Mkuu Mohamed Othman Chande, amekosoa mfumo wa kamati za maadili za mahakimu za mikoa na wilaya kuongozwa na wakuu wa mikoa, akisema kitendo hicho kinakwaza uhuru wa Mahakama. Akizungumza katika majadiliano na ujumbe wa Mpango wa Hiari wa Kujitathmini Kiutawala Bora Afrika (APRM) jijini...
  9. F

    Zitto awapasua roho wabunge

    Upinzani dhidi ya nyongeza ya posho za vikao vya wabunge, umechukua sura mpya, baada ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, kuibuka na madai mapya akiitaka serikali kuwaamuru wabunge wote waliolipwa nyongeza hiyo, kuzirejesha mara moja kwa vile bado hazijaidhinishwa na Rais...
  10. F

    Gwaride la uhuru lakosesha wanafunzi masomo!

    WANAFUNZI zaidi ya 5000 wa shule za msingi jijini Dar es Salaam, watakosa masomo kwa muda wa siku 40 kutokana na maandalizi ya sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Tanzania. Uchunguzi wa Tanzania Daima umebaini kuwa watoto hao ambao watalipwa kiasi kidogo cha sh 80,000 siku ya mwisho ya sherehe hizo...
  11. F

    Siku mbili baada ya kukutana na mwana wa Malkia wa Uiengereza Rais Kikwete apata ujio toka Songas!

    Kwenye michuzi blog kuna picha zinazoonesha wakurugenzi wa Songas wakionana na Rais Ikulu. Songas ni wawekezeji toka Uiengereza na hivi karibuni walionesha 'unyonyaji wao' pale walipoandika kutokufurahishwa na hatua ya serikali ya Tanzania kujenga bomba lenye uwezo mkubwa wa kusafirisha gesi...
  12. F

    Stickers za week ya nenda kwa usalama: bei ni Tshs 3000 au Tsh 5,000?

    Mods, naomba niweke hii thread hapa kwenye habari za siasa ili watu wengi waine maana nahisi watu wanaibiwa hapa mjini na polisi. Stickers za week ya nenda kwa usalama zimedhaminiwa na Airtel na Engen kwa maneno mengine police wamepewa bure. Hata hivyo kwenye sticker bei imeandikwa TSHS...
  13. F

    Zaidi ya Suti: WikiLeaks yafunua mgongano kati ya JK, Kapuya na Gen. Waitara...

    1. (S) SUMMARY. As suspected, the Kikwete administration is facing civilian-military tensions: Tanzania's Chief of Defence Forces (CDF) is hindering the President and Minister of Defence's decision to take the next step in the African Contingency Operations Training and Assistance (ACOTA)...
  14. F

    Ombi Maalum kwa Mh Tundu Lissu

    Mheshimiwa Tundu Lissu umetetea kwa nguvu kubwa bungeni kuhusu jengo la Mahakama kuu ya nchi. Hata hivyo inaelekea hukusikilizwa na upo uwezekano Tanzania kama Taifa huru tukajengewa jengo la mahakama kuu - chombo cha juu kabisa katika kusimamia utoaji wa haki katika nchi yetu. Ni aibu na...
  15. F

    Nchimbi asema Big Brother ni kero

    Akihitimisha hoja za bajeti ya Wizara yake 12/08/11 Dr. Nchimbi amesema kuwa kipindi cha Big Brother ni kero na serikali haikuingi mkono. Wakati akisema hayo wabunge wengi walionekana kupiga madawati yao ikimaanisha kuwa wanaunga mkono. Kwangu mimi nimejiuliza: 1. Waziri Nchimbi na hao wabunge...
  16. F

    Maswali ya kuuliza Wizara ya Viwanda na Biashara

    Kwa walio Dodoma au wenye access na wachangiaji wa mjadala wa Wizara wa Viwanda na Biashara sasa hivi Dodoma naomba niwasilishe yafuatayo: 1: Brela Kuna tatizo kubwa sana pale Brela. Kufanya Company name search peke yake inachukuwa SIKU TATU! na kwa kila jina unalipia Tshs 15,000/=...
  17. F

    Mchango kwa Mh Lema - Waziri Kivuli Mambo ya Ndani

    Alhamisi tarehe 28/07/11 Wizara ya Mambo ya ndani itawasilisha hoja/bajeti yake bungeni. Wizara hii inasimamia uhamiaji, polisi, magereza na hata usalama barabarani. Akiwa kama Waziri kivuli naomba Mh Lema aulize/asimamie yafuatayo: 1. Ajali za barabarani Ajali za barabarani zimekuwa...
  18. F

    Swali kwa Mh John Mnyika

    MODs kwa hisani yako naomba muiache hii thread ijitegemee walau kwa muda. Baada ya Mh.Ngeleja kuwasilisha budget ya Wizara ya nishati na madini, Mwenyekiti wa kamati husika naye alitoa maoni ya kamati yake na kimsingi alitoa mtizamo tofauti kabisa na budget ya Mh Ngeleja. Na kama tujuavyo...
  19. F

    CHADEMA tunataka maandamo kuhusu mgao wa umeme!

    With or without ndiyooooo za maCCM na Spika/Naibu Spika wao CHADEMA tunataka maandamano nchi nzima, vinginevyo tutaamini na nchi hamna dhamira ya kweli ya kukomesha huu usanii wa kuuziwa giza! Sababu kuu za maandamano: 1. Ngeleja aachie ngazi mara moja maana hana nia, wala uwezo wa kutatua...
  20. F

    JK kuongoza wafanyabiashara kongamano nchini Afrika Kusini

    Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuongoza wafanyabiashara wa Kitanzania kwenye kongamano la kihistoria la wafanyabiashara litakalofanyika Julai 9 , mwaka huu jijini Pretoria, Afrika Kusini. Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Raymond Mbilinyi, alisema kongamano hilo...
Back
Top Bottom