MODs kwa hisani yako naomba muiache hii thread ijitegemee walau kwa muda.
Baada ya Mh.Ngeleja kuwasilisha budget ya Wizara ya nishati na madini, Mwenyekiti wa kamati husika naye alitoa maoni ya kamati yake na kimsingi alitoa mtizamo tofauti kabisa na budget ya Mh Ngeleja. Na kama tujuavyo budget za wizara hupitiwa na kamati husika kwa marekebisho/maboresho kabla ya kusomwa bungeni Maadam Mh John Mnyika ni mjumbe wa kamati hii ningeomba atusaidia kwenye maswali yatuatayo:
1. Kamati ya Bunge ilipitia Budget ya Wizara ya Nishati na Madini?
2. Kamati kwa ujumla wake iliridhia budget hiyo? kama hapana kwa nini?
3. Kama kuna ushauri/mapendekezo, wizara ilirekebisha kabla ya kusoma bungeni?
4. Mapendekezo aliyosoma mwenyekiti wa kamati ndiyo hayo yaliyokubaliwa na wanakamati wote?
5. Wanakamati walipewa fedha na mtu au watu au kampuni au taasisi yoyote kwa maelezo ya 'kusaidia kupitisha' budget ya wizara ya nishati?
Very important Mheshimiwa kupata majibu ya hayo maswali.