Nchimbi asema Big Brother ni kero | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchimbi asema Big Brother ni kero

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by FJM, Aug 12, 2011.

 1. F

  FJM JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Akihitimisha hoja za bajeti ya Wizara yake 12/08/11 Dr. Nchimbi amesema kuwa kipindi cha Big Brother ni kero na serikali haikuingi mkono. Wakati akisema hayo wabunge wengi walionekana kupiga madawati yao ikimaanisha kuwa wanaunga mkono. Kwangu mimi nimejiuliza:

  1. Waziri Nchimbi na hao wabunge waliolalamika kuhusu Big Brother walikijuaje? Ina maana wamekuwa wanakiangalia siyo?

  2. Mambo mengi yaliyo kwenye big brother yana tofauti gani na mambo tunayoona huku mitaani hususani watoto wa vigogo?
   
 2. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Tutajia mmoja
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Karibu Sweet Easy!
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Naona Maxence yuko kwenye hii thread! swaiba anahitimitisha bajeti leo. Kajitahidi sana mpe hongera zake!
   
 5. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Nikweli haina faida badala yake inafundisha ulevi na uzinzi. Waziri Nchimbi itabidi azuie kipindi hicho kuoneshwa kwenye local chanels.
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Richard walimpongeza,hahahah!
  <br />
  <br />
   
 7. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #7
  Aug 12, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  naunga mkono hoja, hakifai
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Utandawaz utatutesa sana!
  <br />
  <br />
   
 9. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Faida yake it makes money for the producers...,
  Binafsi sio mpenzi ila haimaanishi vitu vyote ambavyo sivipendi basi tuvipige vita, uzuri kuna mambo mengi kuangalia kama hupendi kitu basi angalia kingine.

  Huku kuanza kupangiana ni nini cha kuangalia ni sawa na kuishi in a "Big Brother Society - Big Brother is Watching You" ..., ukweli ni kwamba nikianza kuchambua program zote za kwenye TV ya taifa sioni yenye manufaa nyingine hata kuburudisha haziburudishi.
   
 10. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,155
  Likes Received: 3,347
  Trophy Points: 280
  Kero, kwani kuna mtu analazimishwa kuangalia
   
 11. F

  FJM JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ukizuia kwenye local channels watu wataona kupitia DSTV.Na sote tunajuwa karibu vigogo wote (wabunge included) wana DSTV. Na hapa ndio hoja yangu watoto wa vigogo inakuja. Kwa maneno mengine unachosema, haya maadili ni muhimu kwa walalahoi, lakini wenye nacho 'automatically' wana maadili?
   
 12. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Sio big brother pekee bali kuna vipindi na magazeti kadhaa havipelekani na maadili yetu achambue vyote
   
 13. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #13
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Tuwe tunapeleka wanaume tu nini? Watenda kazi na wala siyo watendewa kazi.
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Aug 12, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Censorship on the way?
   
 15. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #15
  Aug 12, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mambo ya Big Brother na Mambo ya U - Miss ni kupotezeana muda na rasilimali!
   
 16. w

  wabukoba Member

  #16
  Aug 12, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wanawake tunao watuma humo ndo wanaoharibu kipindi hiki.Tupeleke wavulana tu
   
 17. F

  FJM JF-Expert Member

  #17
  Aug 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Rasilimali zipi? Unataka kumharibia kibarua Lundenga mkuu:)

  Haya maswali ya big brother na miss Tanzania yaliulizwa na mwanamama mmoja amejifunika maushungi. Nadhani kwako haya mambo ni kidini zaidi, lakini ndio hivyo tena 'techno-age'
   
 18. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #18
  Aug 12, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Kwani mtu analizimishwa kukiangalia? Its the matter of choice!
  Rich alivyorudi na USD 200,000, mbona kila mtu alimpongeza! Kwa hili napingana na serikali yangu kwa 100%
   
 19. F

  FJM JF-Expert Member

  #19
  Aug 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  In a way Dr Nchimbi alijitahidi sana kulijibu hili swala na nahisi hata yeye ni mtazamaji mzuri tu maana alitumia neno 'kero'. Sidhani angeweza kusema ni kero kama hajakiona kipindi chenyewe. Ila siasa na alitaka bajeti yake ipite..... Lakini hili la ma-miss nataka nione ni mwanasiasa gani atahudhuria Miss Tanzania mwaka huu!!!
   
 20. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #20
  Aug 12, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Duh kweli jamaa hawana hoja bora angetetea bei za dstv zishushwe na kuacha kutozwa kwa dola ili kutuwezesha wengi wa kipato cha chini kuona mipoira na kujifunza na pia kupigia debe dstv kununua haki ya kuonyesha mechi badala yake analeta upuuzi bin upuuzi cjui ni kivipi alikuwa dokta au ndo wale wa Mzumbe waliochakachua phd!!!
   
Loading...