Search results

  1. Ibrahim K. Chiki

    Kwanini wale wale CCM kila siku?

    Aiseee.. Nimeona Niulize, Ni Kweli Kwamba Kati Ya Wana Ccm/ watanzania Mil 40, wanakosekana watu wapya ili walete changamoto mpya kwenye vyama vyetu? Na Sii Tuu Kwa Vyama Hata Kwa Taifa. MAANA kila Kikuchwa ni Wale Wale Wanaofanya Yale Yale. Hii nini hasa inachochea?
  2. Ibrahim K. Chiki

    Watanzania tuwe wafuatiliaji wa mambo na sio yakishaanza tekelezwa ndio tuanze kelele nyingi

    Hii swala la tozo na miamala ya simu hata likiondolewa basi Watanzania tupate funzo la kuwa, wafuatiliaji wa mambo na sio yakishaanza telekezwa ndio tuanze kelele nyingi. Nasema haya kwa sababu tozo zimeanza jana tuu, lawama kibao mitandaoni na kila mmoja anapinga. Ila as wananchi nafasi ya...
  3. Ibrahim K. Chiki

    Tunatoa mikopo kwa wafanyabiashara wa kati na wakubwa

    Habari Zenu Ndugu Zangu. Yes, THE FUSE TZ LTD, Ni Business Consultants Company ambao kwa Pamoja Tuna Deal Na 1. Business Registrations 2. Tra And All Tra Related Issues. 3. Loans Guidance And Assistance. Hapo No. 3 ndo Msingi wa Hii Post. Kwa Wafanya Biashara Wenye Kuhitaji Kuanzia tsh...
  4. Ibrahim K. Chiki

    Sikubaliani na suala la kufungwa biashara saa sita usiku

    Nitasema kwelii. Hii nimeona niilete hapa jamvini guys, binafsi sikubaliani na serikali na watendaji wake hasa hasa kwenye suala la jiji la DSM eti biashara ya bar mwisho saa sita usiku. Hii si sawa. binafsi nimekaa Uganda maeneo ya Kabalagala, aiseee wale jamaa baana pamoja na mavita vita...
  5. Ibrahim K. Chiki

    Kujifunza Ki China (Chinese Classes)

    Morning Guys, Natafuta sehem wanazo fundisha chinese kwa hapa Dar es Salaam. Please mwenye kufaham na anijuze. Asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Ibrahim K. Chiki

    Natafuta ofisi ambayo nitainunua ikiwa complete na kila kilichopo ndani yake

    Habari zenu wadau. Natafuta ofisi ambayo nitainunua ikiwa complete na kila kilichopo ndani yake. Msaada pplease. Kwa walio serious tuu. 0737045354
  7. Ibrahim K. Chiki

    Je, ni Sawa kwa Rais kuwapa Promo Clouds Tv?

    Wadau, Binafsi sikubaliani na hili swala la Mr President Magufuli anachofanya!! Yaani swala la yeye kuwapa promo la bure Clouds Tv. Kwa sababu, hii issue ya yeye kuwapigia, na bado kuendelea kuwajibu moja kwa moja kwenye issues wanazo discuss linaua biashara ya Ushindani wa Vituo vya...
  8. Ibrahim K. Chiki

    Kubenea aishiwa Uvumilivu! ajiandaa kutoa taarifa itakayowagusa CCM, Magufuli na Jeshi la Polisi

    SAED Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo (Chadema) amepanga kutoa taarifa itakayowagusa viongozi wa juu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Magufuli na Jeshi la Polisi, anaandika Faki Sosi. Kwenye taarifa hiyo pia ataeleza taarifa za kukamatwa kwake zilizothibitishwa na Simon Siro, Kamanda...
  9. Ibrahim K. Chiki

    International Commercial Bank-Ubungo Branch

    Wadau, Binafsi naamini katika msemo wa kizuri kula na nduguyooo.. Hivyo nami pasi kupepesa macho wala kumung'unya maneno niwakaribishe International Commercial Bank-Ubungo Branch inayopatikana ndani ya premises za Millenium Business Park-Shekilango, ilipo Uchumi Supermarket kwa ajili kupata...
  10. Ibrahim K. Chiki

    Starlet inauzwa, ipo njema sana

    Morning wadau, Nauza toyota starlet ya rangi ya silver. 1. Ipo njema kabisaa 2. Number T970 BME. 3. Bei ni 5mil..maongezi accepted. 4. Rangi ni Silver na gari ipo mjini hapa hapa. Dsm. Kwa wenye uhitaji tuwasiliane : Contacts: Cell: 0652590519 Email: chikidsm@gmail.com
  11. Ibrahim K. Chiki

    Free Payroll Service kwa Makampuni

    Wadau, Je una kampuni? na umeajiri zaidi ya watu kumi na tano? Je we ni HR/Finance Manager wa kampuni flani na mnapata shida ya kuwalipa staff wenu kwa Cheque au cash? Basi International Commercial Bank tutakusaidia. Kama ICB Tunatoa Huduma ijulikanayo kama FREE PAYROLL SERVICE -...
  12. Ibrahim K. Chiki

    Nahitaji Carina TI au SI

    Wadau, Habari za humu ndani wakuu. Binafsi nnatafuta gari ya kununua aina ya Carina TI aua Carina SI iwe yenye No C.. Na kuendelea. Kwa bajeti ya Sh Milion 7 hadi 7.5. Iwe kwenye hali nzuri. Kwa mwenye nayo plz ni pm or just give me a call tufanye biashara. Contacts: Cell= +255 652 590 519...
  13. Ibrahim K. Chiki

    Wafanyabiashara tu: Come update mikopo nafuu na kwa haraka

    Wadau, Je, Wewe ni mfanyabiashara? na je Biashara yako imesajiliwa? na Jeu na nia ama mawazo ya kujitanua zaidi kibiashara? na je, una tenda mpya on the way na unahitaji kua funded ili kurahisisha utekelezaji wa tenda yako? Basi International Commercial Bank tupo tayari kukusaidia...
  14. Ibrahim K. Chiki

    Come and Bank with us

    Wadau, Rasmi, napenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha wote Kubank na International Commercial Bank, kwa kupata huduma bora kwa maendeleo yako binafsi na biashara yako pia. tunatambua umuhimu wa huduma za kibenki kwa wafanyabiashara na tumejizatiti kisawasawa ili kukuridhisha kwa kukupatia...
  15. Ibrahim K. Chiki

    Tuwe makini katika kipindi hiki

    Wadau, Awali ya yote Niwasalim, na pia si vibaya kujadili hili mapema ili kupanua wigo wa mawazo na fikra zetu. Kama watanzania ni vyema kutambua kua muda huu ndo wakati muafaka wa kufanya maamuzi sahihi ya kuchagua kiongozi bora unaemuona anafaa kua kiongozi wa taifa hili, bila kujali wala...
  16. Ibrahim K. Chiki

    Working Capital - Mkopo!

    wadau, this is good news kwa wote amabao ni wafanyabiashara na kwa aslimia kubwa biashara zao zipo dar es salaam, Je unahitaji kua boosted financially? ili kukidhi mahitaji yako ya kibiashara or kujitanua zaidi na kutanua wigo wako wa kazi? bais International commercial bank ndo sehem sahihi...
  17. Ibrahim K. Chiki

    Mikopo Mikopo Mikopo na Bank Akaunti (Bank Account & Financial Facilities)

    Wadau, Kwanza kabisa niwatakie Heri ya mwaka mpya. Na pia nichukue fursa hii kuwakaribisha International Commercial Bank kwa kupata huduma zote za kibenki bila usumbufu wowote nakuvuna faida kulingana na biashara yako huku ukiwa sapported financial muda wowote na kwa haraka zaidi. Hii ni...
  18. Ibrahim K. Chiki

    Viti Maalum wa CCM Wanawake

    Ki ukweli kabisa wadau...Wanawake ni mama zetu, ila kwa kupitia mjadala huu wa Escrow kuna machache niliyoyaona kwa bungeni moja wapo ni Utumbo na ----- wa hali ya juu walioongea wabunge wamama, hasa wa viti maaalum. nimesikitishwa sana wabunge hao kukosa hata chembe ya uzalendo na uelewa wao...
  19. Ibrahim K. Chiki

    Dr. Slaa ni mtu hatari sana, Hongera

    Wadau, Naaamini hadi sasa lumumba na magogoni mambo sio shwari, baada ya Dr Slaa kuweza kudaka nyaraka za siri kutoka ikulu ndani ya muda mfupi na Rweyemamu kuuhakikishia umma wa watanzania kua nyaraka zile na kikao kile ni cha kweli, Hii inaonyesha kwamba Dr ni mtu hatari sana katika mambo...
  20. Ibrahim K. Chiki

    Uhusiano kati ya mikopo na biashara

    wadau, leo narudi kwenu na hili swali?? Je kuna uhusiano gani kati ya biashara na mikopo?? naaamini limepatwa ulizwa hapo kabla coz jf ina kila kitu?? but ningependa kupata knowledge na mawazo mapya juu ya hilo huku tukifunzana kwa pamoja. natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom