International Commercial Bank-Ubungo Branch

International Commercial Bank-Ubungo Branch

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
594
Reaction score
163
Wadau,

Binafsi naamini katika msemo wa kizuri kula na nduguyooo..

Hivyo nami pasi kupepesa macho wala kumung'unya maneno niwakaribishe International Commercial Bank-Ubungo Branch inayopatikana ndani ya premises za Millenium Business Park-Shekilango, ilipo Uchumi Supermarket kwa ajili kupata vizuri na vinono kwa ajili ya Kampuni na Biashara yako kwa ujumla.

Twajivunia,

1. Huduma Bora na ya uhakika
2. Gharama nafuu za uendeshaji wa kila siku wa akaunti yako.
3. Mikopo ya Riba nafuu kwa ajili ya biashara yako.
4. Njoo tukue wote kibiashara na kibenki zaidi.

Kwa Mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia:

Branch Manager.

Tel: 22-2401128/2401129

Cell: 0782- 517 588
0652-590-519

Email- Icbubungo@icbank-tz.com
Chikidsm@gmail.com
 
asante..
mnatoa working capital kwa contractors wachanga?
 
asante..
mnatoa working capital kwa contractors wachanga?

Ndio mkuu.. Tena kwa urahisi na haraka kwa ajili ya kuwawezesha kukamilisha tender tofauti tofauti walizonazo na watakazo pata (contractors).

Nitafute mkuu tuongee vyema na kwa kirefu or just pm no yako nitakupigia.
 
Ndio mkuu.. Tena kwa urahisi na haraka kwa ajili ya kuwawezesha kukamilisha tender tofauti tofauti walizonazo na watakazo pata (contractors).

Nitafute mkuu tuongee vyema na kwa kirefu or just pm no yako nitakupigia.
sawa mkuu.. hapo nimekusoma.. I really need a bank that will support me with bonds and good loans. Ntakucheki mkuu..
 
NJOO UPATE MIKOPO NAFUU NDANI YA MUDA MFUPI
Wadau,

Je, Wewe ni mfanyabiashara?
Je Biashara yako imesajiliwa?
Je na una nia ama mawazo ya kujitanua zaidi kibiashara?
Na je, una tenda mpya on the way na unahitaji kua funded ili kurahisisha utekelezaji wa tenda yako?

Basi International Commercial Bank tupo tayari kukusaidia...


Tunatoa Mikopo Kama vile Overdraft na term loans Mahsusi kwa ajili ya Wafanyabiashara wa aina zote.

1. OverDraft
- Mkopo huu Kwa jina jingine unafahamika Kama "Working Capital"
- Mkopo huu unatoka kwa maximum 1 year
- Mkopo huu interest huchajiwa riba kwenye kiasi kilichotumika tuu.
- Mkopo Huu ni working capital kwa wafanyabiashara wenye uhitaji wa kua boosted financially so as kurahisisha utekelezaji wa project flani ama mizigo fani e.t. c

2. Term Loan
- Mkopo huu unatoka kwa kati ya miaka 3, 5 hadi 10
- Mkopo huu uaanzia 100mil hadi 2.5 bil
- Mkopo huu haswa ni kwa ajili ya longterm investments (Projects) kwa wale ambao wako kwenye biashara kwa sasa na wanauhitaji wa kuinvest zaidi.
- Mkopo huu, Ni Kwa ajili ya kujitanua kibiashara Kwa wafanyabiashara wa aina tofauti tofauti.

NB: ZINGATIA VIGEZO:

1. Dhamana-Iwe mali isiyohamishika.
2. Bank Statement- Kuonyesha mzunguko wa biashara yako kibenki, na iwe ya bank yoyote ile.
Kwa Mawasiliano Zaidi,

Contact ME:
Email- Ibrahim@icbank-tz.com, icbubungo@icbank-tz.com
Line- +255 22 2401128-129
Mobile- 0652-590 519, 0782-517 588
 
Nitaitaji mkopo ila Nina nyumba ambayo haijaisha kujengwa nataka kutumia as an asset..unawezekana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom