Free Payroll Service kwa Makampuni

Free Payroll Service kwa Makampuni

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
594
Reaction score
163
Wadau,

Je una kampuni? na umeajiri zaidi ya watu kumi na tano?

Je we ni HR/Finance Manager wa kampuni flani na mnapata shida ya kuwalipa staff wenu kwa Cheque au cash?

Basi International Commercial Bank tutakusaidia. Kama ICB Tunatoa Huduma ijulikanayo kama FREE PAYROLL SERVICE - huduma hii ni maalum kwa ajili ya kukuwezesha wewe kurahishsa malipo kwa staff wako kwa haraka na salama zaidi kupitIa akaunti zao. Na wewe kazi yako kubakia ni kuandaa cheque moja tuu na list ya staff wako then ICB tutafanya na kuhakikisha staff wako wanaenjoy na kupata stahiki zao kwa haraka na wakati pasipo longo longo na kupunguza mzigo kwa kwa team yako ya finance na usumbufu kwa staff.

FAIDA ZA HUDUMA HII:

1. Ni salama kabisa
2. Inaokoa Muda
3. Staff wako wanaweza kupewa Mikopo kulingana na mishahara yao
4. Staff wako wanaweza pata mikopo/Dhamana ya Nyumba kupitia Bank

Kwa wenye Uhitaji tuwasiliane kupitia:
Line= 022-2150094
Cell= +255 652- 590-519
Email= ibrahim@icbank-tz.com
Emal= chikidsm@gmail.com

Karibuni sana wadau.
 
Back
Top Bottom