Kujifunza Ki China (Chinese Classes)

Kujifunza Ki China (Chinese Classes)

Asante sana mkuu. Kwa manufaa ya wengi pia ungeleta details za hiyo huduma hapo udsm kama kuna uwezekano wa kupatikana hizo details mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa sasa sina maelezo ya kina ambayo naweza kuyaweka hapa labda hapo baadae nikitulia. Ila tu ngoja nikuPM namba ya simu ya insider mmoja uwasiliane nae atakupa details zote.
 
Back
Top Bottom