Ibrahim K. Chiki
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 594
- 163
Wadau,
Binafsi sikubaliani na hili swala la Mr President Magufuli anachofanya!! Yaani swala la yeye kuwapa promo la bure Clouds Tv.
Kwa sababu, hii issue ya yeye kuwapigia, na bado kuendelea kuwajibu moja kwa moja kwenye issues wanazo discuss linaua biashara ya Ushindani wa Vituo vya televisheni na kuipa promo clouds tuu.
Mh, Ni rais wa wote na baba wa vituo vyote, kugeuza concentration ya watu kwenye media house moja si sahihi na ukizingatia kabisa kama taifa tuna TBC.
Nipo tayari kurekebishwa ama kusikiliza na kudiscuss kwa kina kuhusu hili.
Asanteni.
Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Milioni 9.5
Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametaja mshahara wake kuwa ni Tsh mil 9.5, huku akiahidi atatoa Salary slip zake punde akitoka mapumzikoni Chato.
Hiyo imetokea wakati wa kipindi cha magazeti leo tarehe 01/04/2016 ambapo watangazaji walisoma habari iliyoandikwa na gazeti la nipashe kuwa Zitto na Lissu waomba ataje Mshahara wake na ukatwe kodi.
Wakiwa katika mjadala huo, walipokea taarifa kuwa Rais kawasikia na katuma taarifa ofisi za Clouds kujuza mshahara wake kuwa ni mil 9.5 na atatoa stakabadhi zake akirudi Dar.
Huo ndio mshahara alioukuta na hata Rais Kikwete alikuwa akilipwa kiasi hicho pia.
Chanzo: Clouds 360 Asubuhi hii.