Dr. Slaa ni mtu hatari sana, Hongera

Dr. Slaa ni mtu hatari sana, Hongera

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
594
Reaction score
163
Wadau,

Naaamini hadi sasa lumumba na magogoni mambo sio shwari, baada ya Dr Slaa kuweza kudaka nyaraka za siri kutoka ikulu ndani ya muda mfupi na Rweyemamu kuuhakikishia umma wa watanzania kua nyaraka zile na kikao kile ni cha kweli, Hii inaonyesha kwamba Dr ni mtu hatari sana katika mambo ya intelijensia na yupo one step ahead ya chama tawala na usalama kwa ujumla, saluti sana kwa huyu mzee kwa kweli.

Heko Dr Slaa, Heko CHADEMA, Heko UKAWA.

Mabadiliko 2015.
 
Wadau,
Naaamini hadi sasa lumumba na magogoni mambo sio shwari, baada ya Dr Slaa kuweza kudaka nyaraka za siri kutoka ikulu ndani ya muda mfupi na Rweyemamu kuuhakikishia umma wa watanzania kua nyaraka zile na kikao kile ni cha kweli, Hii inaonyesha kwamba Dr ni mtu hatari sana katika mambo ya intelijensia na yupo one step ahead ya chama tawala na usalama kwa ujumla, saluti sana kwa huyu mzee kwa kweli. Heko Dr Slaa. Heko Chadema. Heko Ukawa.
Mabadiliko 2015.
Unazungumzia dr slaa yupi yule babu ambaye bado anamchumba au yule aliyeiba pesa kanisani akafukuzwa.
 
Hazikuwa nyaraka za siri, zilikuwa nyaraza za wazi kwa watu wote,.. Hatudanganyiki
 
Chadema wanachojua ni ugaidi tu na kulipua mabomu
 
Hazikuwa nyaraka za siri, zilikuwa nyaraza za wazi kwa watu wote,.. Hatudanganyiki
Ukawa wajinga kweli ipo siku wataokota karatasi jalalani wataenda kuwaambia watu kuwa wamepata nyaraka ya siri,zile nyaraka zilikuwa na siri gani wakati ile ni mipango ambayo imepangwa wazi kabisa.
 
.. GJHariohay inabidi wake zao hao magamva wagegedwe kikwelikweli watie adabu si wanataka hivyo
 
Last edited by a moderator:
Kwa pamoja tutashinda,ccm 'mdebwedo'imechoka kila idara imebaki na ugaidi na uharamia tu.,Hebu tujiulize pamoja na hasara yote waliyotuletea kwa bunge la kifisadi chini ya sita na chenge bado wanataka kutudhulumu mabilioni kwa hila ya katiba iso na tiba!!!Ni vyema tuipumzishe mapema kwa gharama yeyote kabla haijamalizia kuliangamiza taifa."shime makamanda shime".:director::boxing::boxing:.'UKAWA'Keep it up.
 
Ngoja nikuoneahe mdebwedo huyu ndiyo kamanda mdebwedo.
 
.. mjepo nyie kupigika kote kuteswa kote na ccm bado mnaoooo tu.....upuuzi wote wanaoufanya nyie mnaona sawa tu...kweli nyie siyo kosa lenu kosa mlilikimbiza mwenge mpaka limewaribu fikra na mawazo yenu
 
Last edited by a moderator:
Mada nimeielewa vema inahusu uhatari wa slaa kwenye wizi wa wake za watu hutaki unaacha.

kindly mjepo...respect huanza na wewe binafsi..kwanini ututoe nje ya mada for no reason, ongea kwa hoja according to mada yenyewe sio kupinga tuu...mradi umepunga mkuu.
 
Back
Top Bottom