Search results

  1. Mndengereko

    Natafuta Azola kwa mkoa wa Mbeya

    Habari wakuu, Natafuta mbegu ya chakula cha kuku azola kwa mkoa wa mbeya, naweza kupata wapi? Maana nimetafuta sana nimekosa. Au kama kuna mdau anauza basi anicheki please.
  2. Mndengereko

    Wachambuzi wetu na uchambuzi wa Matukio

    Na mndengereko Ni kawaida siku hizi waandishi wengi wa habari huandika kuhusiana na matukio mbalimbali yanayotokea katika jamii,hasa ya kitaifa na yanayohusisha public figure,mfano rais au makamu wa rais wakienda kwenye tukio la ufunguzi au uzinduzi wa kitu fulani bas media zote zitafocus...
  3. Mndengereko

    Mjadala huru: Nini kifanyike kuliepusha taifa na teuzi na tenguzi za mara kwa mara?

    Heshima kwenu wakurungwa. Katika kipindi cha miaka 8 iliyopita katika nchi yetu pendwa ya Tanzania kwa maana ya awamu ya 5 na ya 6 tumeshuhudia viongozi mbalimbali wakiteuliwa na mamalaka, hasa mamlaka ya Rais na pasi na kupita muda mrefu viongozi hao ama hubadilishwa vituo vya kazi, ama...
  4. Mndengereko

    Ya Feisal, Yanga na maamuzi ya TFF

    Miongoni mwa mashaur mepesi yaliyopelekwa TFF ni hili swala uvunjaj mkataba wa feisal salum, watu wengi wanachanganya kati ya breach of contract na termination of contract, breach of contract ni ukiukwaj wa mkataba kwa kutofuata masharti ya mkataba wakati termination of contract pamoja na tafsir...
  5. Mndengereko

    SoC02 Mapungufu ya kiutawala Tanzania na suluhisho lake

    UTAWALA (BORA) Uwepo wa Uongozi na serikali mbalimbali una lengo la kuleta maendeleo kwa wananchi wanaowaongoza na njia mojawapo ambayo ni kiungo muhimu cha kufikisha maendeleo hayo kwa wanachi hao ni utawala, hivyo utawala ambao ni bora ukizingatiwa ni wazi maendeleo na matokeo chanya...
  6. Mndengereko

    Waaah instrumental

    Wajumbe heshima kwenu, nina shida na biti ya waah ya nyimbo ya dangote x kofi,yeyote mwenye nayo please ashare na mimi au anipe link ila nahitaj orignal sihitaj remake,naona mtandaon nying zipo remake Natanguliza shukran
  7. Mndengereko

    Tusilazimishe pambano la Kiduku na Mwakinyo

    Na K.S.K Heshima yenu wana jamvi, binafsi nimefurahishwa sana na ushindi wa kiduku kwa mara nyingine tena mbele ya dulla mbabe, na baada ya kiduku kubeba crown kumekuwa na hoja nying ya team kiduku wakimtaka/tukimtaka mwakinyo,binafsi sio muumin sana wa kutaka pambano hilo lifanyike mapema ešp...
  8. Mndengereko

    Maoni yangu sakata la Manara na Barbara

    MAONI YANGU JUU YA AUDIO CLIP YA MANARA ni kama ifuatavyo Regardless kama tuhuma anazotuhumu Manara kwamba kufedheheshwa, kunyanyaswa and the like ni za kweli au la! Kitendo alichokifanya cha kuleta claim yake dhidi ya boss wake tena top top boss ,wa watumishi katika taasis /klabu ya simba...
  9. Mndengereko

    Tusiwaambie tu wazazi wetu kuwa tunawapenda bali tuwaoneshe

    Kwa bahati mbaya wazazi wangu wamefariki nikiwa mdogo japo sio sana, baba alifariki 2004 nikiwa form 2, mama alifariki 2006 nikiwa form four,{mwenyezimungu awalaze mahala pema peponi} Jana nilikuwa na rafiki yangu, tunatembea barabaran akakutana na mama yake akamsaidia/akampa 2000, mama yake...
  10. Mndengereko

    Tunakosea kumlinganisha Rais Samia Suluhu na Hayati Magufuli

    Habari wanajamvi kwanza poleni na msiba mzito wa taifa wa kumpoteza mpendwa wetu Rais Magufuli, kumekuwa na mijadala mirefu inayoendelea juu ya Rais aliyeapishwa Mama Samia kwamba je, ataweza kuendana na kasi aliyokuwa nayo Magufuli. 2. Je, ataweza kuyaendeleza aliyoyaanzisha Magufuli? 3...
  11. Mndengereko

    INAUZWA Spika inauzwa

    Spika zinauzwa aina mbili tofauti moja ni aina ya tiger zipo,mbili ndefu na mbili fupi zote zina mixer yake na ni mpya kbs hazijatumika spika mbili kubwa bei yake ni 400,000 ,zinatumia bluetooth,zinasupport usb flash na memory card spika ndogo aina ya tiger pia na zenyewe ni mpya kbs na...
  12. Mndengereko

    Tuwaenzi viongozi wetu angali wapo hai

    Heshima kwenu wakuu naomba kuwasilisha wazo langu kama ifuatavyo. Binaadamu kwa kawaida tumekuwa na kusumba mbaya sana, ya kuwasifia watu pindi wanapofariki, na hata kuonyesha upendo usiomithilika kwao, ambao tulikuwa hatuwaonyeshi pindi walipokuwa hai ambapo kwa kipindi hicho unakuwa hauna...
  13. Mndengereko

    Iwapo Tanzania itakosa msaada, nani atanufaika?

    Heshma yenu wakuu, kumekuwa na tetesi nyingi juu ya Tanzania kunyimwa misaada na EU, mpaka balozi wa Tanzania alipokuja kuweka wazi whats really happened, lakina Wapinzani wakiongozwa na Zitto wameendelea kushikilia msisitizo kuwa tutanyimwa misaada ,baada ya mkataba wa sasa wa msaada kukamilika...
  14. Mndengereko

    Elimu: Uchaguzi wa Marekani na upatikanaji wa viongozi wake

    Wakuu, heshima yenu, kadiri ambavyo tunazidi kusubiria matokeo ya uchaguzi wa aneyejiita baba wa Demokrasia Marekani, kwa manufaa yangu na wanajamvi wengine tafadhali tufahamishane kwa kirefu kidogo juu ya uchaguzi wa Marekani na jinsi ambavyo viongozg wengine wanapatika points za kufafanua ni...
  15. Mndengereko

    Maji ya kujaza kwenye battery ya solar

    Wajumbe heshima yenu, tafadhali msaada kwenye tuta, maji ya betri ya solar yanapoisha, ni maji gani sahihi ya kuyaweka kama replacement ya maji ya mwanzo? Je ni maji makali? Au maji baridi? Maana nilishauriwa kuwa mwanzo kuwa maji ya kwanza makali yanapoisha basi maji ya pili yanapaswa kuwa ya...
  16. Mndengereko

    Mtoto mkali alafu anauza dawa ya nguvu za kiume

    Wajumbe heshima kwenu, let me declare my interest sio mtu wa kupenda totoz za mtandaon juzi kati kuna manzi moja nilikutana nayo mtandaon FB (old is good) ni wa moto sana yaani picha alizokuwa anapost huwezi ukamuangalia kwa nusu dk, lazima ale muda wako kidogo, baada ya kuzama na mwonekane wake...
  17. Mndengereko

    Kwanini liitwe Ziwa Victoria?

    wanajamvi heshima kwenu! nimekuwa nikijiuliza muda mrefu kwani ziwa lile kubwa lipatikanalo kule kanda ya ziwa kuitwa ziwa victoria,nikiri wazi sijafanya research ya asili ya jina lake,lakini naamini ni jina lenye asili ya ukoloni kwa maana jina limepewa na wakoloni enzi wanatutawala(kuenzi...
  18. Mndengereko

    Kwanini nyimbo nyingi za siku hizi ni sex song na sio love song?

    Wakuu heshima yenu, Nowdays kumekuwa na tabia kubwa sana ya wasanii wa kileo wa Bongoflavour nyimbo zao nyingi wanazotoa ni sex song na sio love songs,nyimbo nyingi zinazungumzia jinsi ya kufanya mapenzi,(how to make love-love making) na hazizungumzii love in general. Kwa uchache mfano wa...
  19. Mndengereko

    Marekani yatuma wanajeshi 500 na silaha nzito za kivita Saudia Arabia muda wowote Iran kushambuliwa

    Marekani yatuma wanajeshi 500 na silaha nzito za kivita nchini Saudi Arabia, Muda wowote Iran inashambuliwa Marekani imetuma wanajeshi wapatao 500 na silaha nzito za kivita kwenda nchini Saudi Arabia kuweka kambi, Hii ni kufuatia vugu vugu lake na Iran. Kwa mujibu wa kituo cha runinga cha...
  20. Mndengereko

    MWENYE LINK YA CRACKED/ACTIVATED PROGRAM YA PINNACLE STUDIO AU ADOBE PREMIER PRO

    WANA JAMVI HESHIMA KWENU,NAOMBENI MSAADA WA LINK YA PC PROGRAM AIDHA PINNACLE STUDIO AU ADOBE PREMIER PRO AMBAZO ZIPI ACTIVATED TAYARI AU ZIPO CRACKED,NIMEJARIBU KUTAFUTA KWENYE SITE MBALIMBLI NIMEKOSA AMBAZO ZIPO CRACKED TAYARI/ZENYE CRACK YAKE NYINGI HAZIKO ACTIVATED,MWENYE LINK AMBAYO...
Back
Top Bottom