INAUZWA Spika inauzwa

Mndengereko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
7,280
3,345
Spika zinauzwa aina mbili tofauti moja ni aina ya tiger zipo,mbili ndefu na mbili fupi

zote zina mixer yake na ni mpya kbs hazijatumika spika mbili kubwa bei yake ni 400,000 ,zinatumia bluetooth,zinasupport usb flash na memory card

spika ndogo aina ya tiger pia na zenyewe ni mpya kbs na hazijatumika pia zinasupport usb flash,memory card na bluetooth,zipo mbili moja ina mixer ,bei yake ni sh 250,000

zote zinapatikana mbeya,kwa waliopo mbeya tunaweza kuwasiliana na kuzitest kabla ya biashara kwa walioko nje ya mbeya wanaweza kutuma mwakilishi kabla akazichunguza kisha biashara kufanyika

Zote kwa pamoja bei ya ofa naziuza kwa 500,000

ambae yupo interested anicheck INBOX,
KARIBUNI


IMG_20201024_170137_675.jpg
 
Back
Top Bottom