Search results

  1. Pharaoh

    Meli kubwa inashusha vitu vya siri mbele ya Paje Zanzibar

    Iangaliwe Meli kubwa ya Kimataifa ya Makontena inayopita polepole mbele ya Paje Zanzibar ya mashariki, inashusha vitu haramu sana na kupokelewa na maboti ya mwendokasi yanayojifanya ya Diving activities au fishing. Pia Majahazi, Bandari Bubu na Bandari ya Mkokotoni na njia za Wavuvi
  2. Pharaoh

    Hii ni CCM

    Orodha za Ufisadi CCM kwa Ufupi tu. TTTCL kuuzwa kwa bei ya kutupa ni Mwandosya Fisadi. Kuingia mitini na Pesa za Tanzania alizotoa Gadaffi ni Membe Fisadi. Bilioni 250 zilizolipwa Wakandarasi hewa wa ujenzi wa Barabara ni Magufuli Fisadi. Mabilioni ya STIMULUS PACKAGE ya Pamba ni Kikwete...
  3. Pharaoh

    CCTV Afrika na wakenya wakiitumia kujitangaza

    Nimetazama program za CCTV 4 ambayo ina ofisi Nairobi kwa Africa. Nchi zingine za Afrika ikiwepo Tanzania tunawekewa taarifa chafu, ila Kenya taarifa zake motomoto. Nadokeza tu.
  4. Pharaoh

    Zanzibar Police Inawabagua Wamasai, Rushwa ndio mchezo wote

    Wakuu katika pita pita yangu Zanzibar, nimeshuhudia unyanyasaji unaofanywa na Askari Polisi Zanzibar. Yametokea mengi ya dhulma, katika vijiji vya Kiwengwa, Pwani Mchangani, Uroa na Nungwi, Mkoa wa Kaskazini Unguja Askari wanawafuata wamasai hadi ndani ya mahoteli wakiwa pamoja na wake zao, na...
  5. Pharaoh

    Nirudi na Biashara gani toka France and Switzerland???

    Wandugu narudi Tz, nije na Biashara ya bidhaa zipi zenye Soko la Uhakika Dar au Zanzibar nina mtaji usiozidi Euro 100,000 (Tzs 200,000,000) Je ni badhaa gani nitauza au zinahitajika toka nchi Hii? Asanteni sana ndugu
  6. Pharaoh

    Holliday Inn DSM mnawagongea wateja ovyo usiku, sio kila mtu malaya.

    Usiku wa kiamkia leo, kuna mteja wa Holliday Inn alisumbuliwa sana na watu waliokuwa na sura ya ama Uhindi au Uarabu, ilikuwa kama saa sita usiku, huyo mteja alifika usiku huu kwa ndege ya KLM akitokea Uholanzi, alipofika hotelini na kupata chumba, alipanda ghorofa ya 10 kupata soda kunako Bar...
  7. Pharaoh

    Zanzibar ni Jimbo? Nchi? Sehemu? Group ya Mikoa ya Tanzania?

    Wakuu tubadilishane maoni. baada ya nchi zilizounda USA kuungana zilibakia kuwa Majimbo. Tanganyika na Zanzibar zilikuwa Nchi mbili Huru ziliungana na kujubalika kuwa Jamhuri Moja ya Tanzania Je? Leo ukiacha mbali tamaa, chokochoko hizi pande zilizoanzisha Republic of Tanzania ni nini?
  8. Pharaoh

    Daressalaam? What a shame!!!

    What is the meaning and history of this shameful name? Why the City is dirty like this?
  9. Pharaoh

    CUF Uamsho Kidudu

    Uasho ni wana CUF ambao ndani wana magaidi wa kweli. Kwa kuungana kwao, kelele kati yao na Waunguja weusi kelele hamna tena japo bado kidogo. KIDUDU lakini bado kinawawasha wana CUF, kwa hiyo bila kuendelea kufanya (fujo) hawawezi tena kukaa kimya. Sasa wanapambana na Nchi yao Tanzania. Vunja...
  10. Pharaoh

    Mr Kikwete Hongera sasa umegundua si haba Inshaallah tutafika!

    Leo Presidenti JK amekiri kuwa kumbe kuna aina fulani ya mikataba ndio isainiwe na nchi mbalimbali ili vijana wenzetu wapati kwenda nchi za nje kikazi na kupata kujifunza mengi kabla ya kurudi kujenga nyumbani. Sisi tulihangaika sana nchi za nje kutafuta kazi, lakini miaka hiyo wenzetu wa nchi...
  11. Pharaoh

    Nyerere, Tanganyika tunatukanwa na tukae kimya?

    Nyerere mnadhubutu kumuita Baba wa Taifa anatukanwa kuliko Mbwa na bado Serikali na Majeshi yake inatulia? Watanganyika (Watanzania bara) wanatukanwa na kubaguliwa kuliko Mbwa na bado kimya? Visiwa vyetu tulivyovikomboa kwa jitihada ya Mwalimu Nyerere ndio leo vinatuita koti linalobana...
  12. Pharaoh

    Zanzibar is number one duniani as most corrupt inatia kichefuchefu...

    FIKA ZANZIBAR UONE RUSHWA POPOTE NA MBAYA ZAIDI INAAMBATANA NA UBABE WA KIJINGA. Natoa mifano michache tu, Airport kabla hujaingia ndani yupo mlanguni mzee mweupe mvaa kofia kama ustaadh vile, atakuuliza mambo kibao yahusuyo Afya halafu mara atakwambia ukae pembeni karibu na kijikona kwa upande...
  13. Pharaoh

    Wazungu tanzania Ashiki sana!!! Na hamna watu, wananchi hawajawa teyari bado wajinga

    Hivi karibuni nimerudi Tanzania, nikafurahi kuona wazungu wengi kwenye ndege, hasa ma single hasa wanawake na baadhi ya wanaume wenye hadhi ya kuwa wa maana. Utani wao wengi kwenye ndege na airport ni kuwa nchi inaruhusu kwa sababu haina rekodi mbaya ya ukimwi, kwa hiyo unaweza kula vyakula...
  14. Pharaoh

    Zanzibar Kupongeza wachomaji, Wasaidiwe washinde kesi, Mashujaa wa Muhanga!

    Zanzibar wameanza maandalizi ya kutoa mchango, na watafutwe wanasheria wakubwa wawatetee Wazanzibari waliowachomea maduka na nyumba zao na mabanda ya kulala Watanganyika. Kwani hili lilijulikana kuwa litafanywa na watu wa kawaida, na maafisa wa wilaya waliwataarifu hao wabara kuwa wasiwapige...
  15. Pharaoh

    RAIS WA NCHI YA ZANZIBAR SAFI UTURUKI, Hamna kutaja TANZANIA

    Rais wa nchi ya Zanzibar mambo mazuri Uturuki, asije akaomba na silaha, kwa heshma kubwa kwa Uturuki, tunaijuwa nguvu yake kijeshi na kiuchumi, hata Israel inabembeleza ipate urafiki na Uturuki, Rais Gul na Shein wameongelea mengi na kupanga mengi, Rais wa Zanzibar amejitahidi kutotaja popote...
  16. Pharaoh

    Jina la Dar es salaam ni CHAFU, DHAMBI

    Watanzania wenzangu wenye mawazo mapya na wasiokumbatia kwa itikadi, kwa nini huu mji uitwe jina la kutukuza Sultani wa Zanzibar aliyekuwa anavusha watumwa kutoka kijiji cha MZIZIMA, na kwa jinsi biashara ilivyokuwa laini akaamua kuiita BANDARI YA SALAMA, kwani wazaramo hawajampa upinzani wowote...
  17. Pharaoh

    Gaddafi: BASI KUPIGANA JAMANI, aomba asifanywe vibaya.

    Hatimae Dikteta Muammar al Gadhafi ameiomba Nato isimamishe vita na yeye yuko tayari wanavyotaka, ilimradi asihamishwe nje au kuuawa. yuko tayari kuipisha Libya mpya ijengwe na wengine, lakini abaki nyumbani na salama yeye na wanawe. kwa nini alijidanganya tangu mwanzo?
  18. Pharaoh

    Utalii ni wa Beach za Holiday resorts, kupumzika na kutumia, sio wanyama jamani

    Please serikali ya bara ijaribu kuleta wawekezaji wa kujenga mahoteli ya beach resorts, wamwaga watalii kuliko hao tunaowaona Zanzibar. Bahari yetu katika baadhi ya sehemu ni nzuri kama ile ya Zanzibar, kwa mfano Visiwa mbele ya mji wetu wa Dar, wengetafutwa wawekezaji wa maana waweke mahoteli...
  19. Pharaoh

    Tanganyika na watu wake wanafanywa vibaya Zanzibar, please help.

    Sijui ni uoga wa viongozi? au kujifanya hamuoni? kuna ubaguzi mkubwa wa watu wenye asili ya bara au Tanganyika huko visiwani, hawana pa kwenda kulalamika, na chuki iko juu kwao, tufanyeje?
Back
Top Bottom