Wazungu tanzania Ashiki sana!!! Na hamna watu, wananchi hawajawa teyari bado wajinga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazungu tanzania Ashiki sana!!! Na hamna watu, wananchi hawajawa teyari bado wajinga

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pharaoh, May 26, 2011.

 1. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hivi karibuni nimerudi Tanzania, nikafurahi kuona wazungu wengi kwenye ndege, hasa ma single hasa wanawake na baadhi ya wanaume wenye hadhi ya kuwa wa maana.

  Utani wao wengi kwenye ndege na airport ni kuwa nchi inaruhusu kwa sababu haina rekodi mbaya ya ukimwi, kwa hiyo unaweza kula vyakula aina vyote, kuonja ladha zote za nchi, yaani hadi watu.

  Malalamiko niliyakuta Zanzibar, nilienda Disco nikiwa peke yangu Mweusi, ukiondoa wauzaji, wazungu kama 500 single kama 400 wanawake wengi kidogo kuliko wanaume,
  nikasikia malalamiko, mwanamke mmoja akawaambia wenzake, ah jamani bora tungeenda Jamaica, Brasil au Japo hapo Kenya, hapa hamna wanaume.

  Wapo wanaume lakini wanapiga pombe tu kwenye Bar za kienyeji na malaya wa chapchap, kwa wabara walioko zanzibar, kwa wazanzibari wakishafanya biashara mchana ya magari na maduka, kipato kinatosha kwa mambo yote hawana haja ya kuwa mitaani. Wanaenda kujichimbia na wake zao, na wachache wanaokubalika na wanajichanganya na wazungu na kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaharibu kwa tamaa.

  Kwa kuwa ni wachache na wazungu ni wengi, hawa develop mahusiano ya maana, leo huyu mjerumani, kesho mtaliano, kesho mkanada, na hii hali ni meona kwa wazanzibari, wabara walioko beach kama wachaga, wapare, wamasai, wameru, wamakonde na kidogo wasukuma.

  Nimeongea na baadhi yao wanakiri jamii haikuwa teyari, kwanza style za kimapenzi za kizungu wengi zinawashinda, usafi, kutokuwa na tumbo au unene kitu ambacho kinawatia kichefuchefu wazungu.

  Na ulevi mwingi, wachache waliofanikisha kuwa karibu na hao wazungu na kuoana kwa wanavyoeleza wenyewe ni kwamba maisha dakika utaona kama mchezo, nimeona ushahidi wa waliopewa mitaji hadi milioni 600 kwa pamoja na kibibi cha kitaliano, wao walidhani ni pesa nyingi lakini hizo ni laki 3 tu italy.

  Utanunua labda chumba au parking ya gari, nikasikitika sana kwani mimi nikiwa nje najua mzungu akisema anaenda africa wengi wanamwambia kwa raha zako. Kama kusema kule wanaume wana maombo makubwa na wazuri kitandani, pia wanawake weusi inaaminika wana moto wa hali ya juu na makalio magumu.

  Kwa hiyo karibu wote wanapokuja Africa hasa zile sehemu za kitalii zilizoko teyari kama Zanzibar, Kenya, Capo Verte, Tanzania bara sio sana utalii wa Holiday resorts kwani hamna au bado hazijatangazwa au hamna mikataba kati ya bara na makampuni ya Tour oparetors kubwa za Ulaya kama Thomas Coock, Grandi Viaggi, El corte ingles.

  Na nyingine nyingi zinazoaminiwa na watalii wa kizungu na hasa makampuni yenye ndege zao wenyewe kama zile zinazopeleka zanzibar na Mombasa.
  Inasikitisha kuwa nchi nyangu haijawa tayari kuwa na binadamu wenzao hasa wa standard ya juu, eti walevi ovyo, vitumboududu au vutumboulevi, haman usafi wa kutosha?

  Jamani tubadilike kila mmoja wetu akijua kuwa umasikini ni vita tuliokuwa nayo na tunapigana kufa na kupona basi tuchangamkie dili kama hizo, ukifanikisha kutoka wewe na familia yako ndio nchi.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,277
  Likes Received: 19,430
  Trophy Points: 280
  mkuu numekubali uchambuzi wakeo na hii kitu ni kweli kabisa nishawahi kuongea nna baadhi ya watoto kutoka italy wakawa wanaongea maneno hayahaya wengi wanapendelea sana kwenda jamaica
  wanaume wa kibongo mpo?
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hahahaha!!!!:biggrin1::biggrin1:
   
 4. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  najipia njia tu.....
   
 5. m

  muhanga JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  duu hivi hatuwezi kuwaza njia nyingine ya kujikomboa na usmaskini kwa kufanya kazi zingine kwa bidii isipokuwa hilo dili hapo juu! mh vijana wa kibongo fanyeni kazi acheni njia za mkato za kupata pesa! mnawacheka nini sasa madada wakijiuza mitaani??????????
   
 6. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Are you guys serious? To me this is crap!
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,277
  Likes Received: 19,430
  Trophy Points: 280
  na hii tumuachie nani?
   
 8. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Duh hivi hao wazungu walipataje hela?

  Tufanye kazi zenye kali na halali kwa mungu
   
 9. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kama hujui basi hata hii ni kazi, na love duniani inalipa kuliko kazi yoyote, wewe hutuwi pesa kwa demu wako? husaidii ndugu zake? unakumbuka yule Bar man aliependana na mwimbaji Jennifer Lopez wakati anaachika alipewa zawadi na J.LO ya Dola milioni kumi? au wewe huna matarajio? kama wewe humo kwenye idadi nyamaza, mi naongea na madeiwaka wa Kitanzania wanaoajiriwa kazi chafu hela mbuzi mpaka uzee unamkuta, waingie kwenye Romance halafu watoke kilaini.
   
 10. Elisante Yona

  Elisante Yona Senior Member

  #10
  May 27, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 130
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mimi napenda kwa tuuheshimu utu wetu.Hawa wazungu wanakuja kutalii wanaitwa Sex tourist,kwa mtu mstaarabu huwezi kujichanganya nao,ni kweli ni watu ambao kule kwenye nchi zao wamezarauliwa,kama sisi tunavyo wadharau wadada wanaojuiza kule ohio street au Kinondoni/manzese n.k,kwa ushauri wangu hasa vijana tufanye kazi zenye hadhi yaani decent work,
   
 11. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Eli usijifanye unajua kumbe hujui. huwezi kuwalinganisha na malaya, na kuwaita sex tourist ni ujinga, sisi wanaume na watu wastaarabu tunaita kujuana watu wa jamii mbalimbali, world integration, halafu usidhani ulaya kama mitaani kwenu, huku mabilionea, wanasheria, mawaziri, wakurugenzi, madaktari ni single, kutokana na mfumo wa maisha kuwa watu hawakutani kwa sababu ya harakati za kikazi ulaya, akiwa likizo ndo time ya kujiachia na hatazami ubosi wake ulaya.
  Nenda Kiwengwa Zanzibar, Tajiri namba moja ni aliyekuwa Muuza Ndizi mchagga mwenzako, anaitwa Eliameni, anamiliki mali nyingi ikiwemo Hoteli ya Kifahari inayoitwa The Shooting Star Lodge, yeye alikuwa muuza ndizi hadi alipopendwa na demu mzungu, kama wewe ****** nyamaza.
   
 12. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo wawe wasafi ili waweze kutembea na wazungu? embu tupishe na wazungu wako huko
   
 13. Laigwanan76

  Laigwanan76 JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 540
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mimi naona vizungu vingi vinavyokatiza hapa arusha vichafu chafu tu.....labda na wao wajitahidi kujiweka soap
   
 14. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0


  hata km ulisoma PCB jaman ebu angalia kwanza heading yako..makosa meng mpaka inapoteza mantiki yake

  pili,paragraph muhimu jaman katika uandishi lakin uandish wa boks wala aunog na kumvutia msomaji


  THOU UMEANDIKA KITU CHEMA NA KIZUR BT NXT TYME JARIBU KUANDIKA FRESH.
   
 15. Kajuni

  Kajuni JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2011
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Wewe ndo wale wale....FLY CATCHERS!!!! fIkiria vizuri wengi ambao wamokwenye hayo mahusiano wamegeuzwa kuwa SEX MACHINE!!! na kunyimwa uhuru wao. Please kuna njia nyingi za kutoka kimaisha lakini siyo kwa njia hiyo. Huko ni kujidhalilisha.
   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  May 28, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  hao wazungu waleteni hapa jf watangaze ashiki zao humu
  waone kivumbi....
   
 17. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #17
  May 28, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  I'm not interest!!
   
 18. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #18
  May 28, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  I'm not interested!!
   
 19. Criss

  Criss JF-Expert Member

  #19
  May 28, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hivi tunaelekea wapi?
  Yaani watu tunapambana kukomesha ngono zembe wengine mnashawishi kabisa.
  Hivi mtoa mada uwezo wako wakufikiri umeingia virus au unania ya kuwaangamiza wenzako tu?
  Hivi kumchakachua mtu hadi afunguke hizo six hundred million unafikiri ni issue kidogo eeenh?
  Hivi kama kijana unaeijua kesho yako unasababu gani za msingi ya kuichukulia NGONO ndio kitu itakayokutoa kwenye hali ngumu uliyonayo?

  WAZUNGU HAAAA!!!! Kwani wazungu ndio nini?mbona tumefirisika kiakili namna hii?Mazingira ,Asili,Elimu au?

  Binafsi nilitegemea kusikia kitu tofauti kidogo kutoka kwako kwa kua unadai ulikua nje na sasa umerudi bila shaka kuna tofauti ya kimazingia ,kimfumo hata aina ya mbinu ulizojifunza huko na ungependa jamii yako inufaike kwa kile ambacho wewe umenufaika nayo ....

  Binafsi sitaki kuamini kuahuko ulikua unatumika kama chombo cha starehe that'swhy unashangaa kwa nini wenzako hawafanyi kama ambavyo wewe ulikua unafanya.
   
 20. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #20
  May 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mnajifanya wakali lakini nyinyi ndio wale wale wa Kinondoni usiku? mimi ninaongea na wanaonielewa wasiokuwepo kwenye hesabu wanyamaze, halafu si nilitanguliza kuwa bado hamjawa teyari kwenye world integration? kwa hiyo ni kweli bado ushamba mwingi, ndio maana hata wzungu wa Dar nimeona wanatembea na wahindi japo wahindi hawapendwi na wazungu sana, wanaamini wana maumbile madogo.
   
Loading...