Nirudi na Biashara gani toka France and Switzerland???

Pharaoh

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
843
157
Wandugu narudi Tz, nije na Biashara ya bidhaa zipi zenye Soko la Uhakika Dar au Zanzibar
nina mtaji usiozidi Euro 100,000 (Tzs 200,000,000)
Je ni badhaa gani nitauza au zinahitajika toka nchi Hii?
Asanteni sana ndugu
 
Njoo ununue viwanja, baada ya mwaka your capital will be trebled..
 
Seriously vwanja mjinii ni biashara isyoingiza hasara.ilimradii unakaa mbali na danger zone. Hakikisha tuu kuwa ma dr's (magufuli,mwkyembe,na mary nagu) hawana mpango na hio ardhii wthn tym we bi biig booosss
 
Njoo na sideloader....kazi ni nyingi sana....kupakia container moja sio chini ya laki moja, bei hiyo ni nje ya mobilization!

Side-loader ni aina fulani ya trailer ambalo hujiwekea na kujitua container yenyewe! the bigger the tonnage inalift the better!

Yapo sana huko France ulipo!
 
Wandugu narudi Tz, nije na Biashara ya bidhaa zipi zenye Soko la Uhakika Dar au Zanzibar
nina mtaji usiozidi Euro 100,000 (Tzs 200,000,000)
Je ni badhaa gani nitauza au zinahitajika toka nchi Hii?
Asanteni sana ndugu

Anayekushauri kununua ardhi anakupa ushauri mzuri. Ukinunua ardhi/shamba around Dsm/Pwani ambalo ni salama na liko ktk location stahili, utapiga bingo vizuri. Management ya biashara hii si ngumu sana.
 
rudi na yutong moja, route ya Dar - Moshi - Arusha haina hasara. Constant customers.
 
rudi na yutong moja, route ya Dar - Moshi - Arusha haina hasara. Constant customers.

mkuu inakuaje sasa makampuni kibao yanakufa kwenye hiyo ruti kama ni profitable, hawa akina buffalo, royal coach siwaoni tena,
 
kufa kwa route ni kutokana na uendeshaji wa kampuni. Dar ex press toka enzi ipo na itaendelea kuwepo.
 
Back
Top Bottom