Search results

  1. RAGNAR LOTH

    Tuujadili uchumi katika vitabu vitakatifu.

    Natumai nyote mu-buheri wa afya Enyi wana wa nuru. Nimeona ni jambo la kheri tukageuza macho yetu katika vitabu vitakatifu tuone Mwenyezi Mungu anatuasa nini kuhusu swala zima la uchumi. Na zaidi kukujulisha tu Ewe mwana mwana wa Adamu ni kwamba maarifa yaliyomo katika vitabu vya kidunia msingi...
  2. RAGNAR LOTH

    Dalili za kuwa na mpenzi/mke/mume 'bogus'

    Ukiona dalili zifuatazo ujue mke, mume/ mpenzi wako ni BOMU. Kama umeshaoa hakuna namna inabidi tu upambane na hali yako. Kama hujaoa hii thread yaweza kuwa kivunja uchumba. 1) Ukiona mtu ambaye (1/3) ya matumizi yake ya mwezi ni kwenye cosmetics, mavazi, mapambo, viwanja na mengine yafananayo...
  3. RAGNAR LOTH

    Mzazi jifunze kumuomba mwanao msamaha

    Wengi tumewahi kutamkiwa / kuwatamkia watoto maneno makali au machafu ambayo baadae tukiyatafakari hatuamini kama hayo maneno yametoka vinywani kwetu. Ni mara nyingi tunatamkiana maneno kama " Wewe ni hasara tupu ", " Mbwa kabisa wewe," " bora nisingekuzaa huna faida hata chembe," " Ntakupa...
  4. RAGNAR LOTH

    Ukitaka kuwa mwajiriwa kweli, kuwa mwajiri kwanza

    Tamaduni, nadharia na mazoea zimeathiri sana thamani ya watumishi wa kitanzania katika soko la ajira la ndani na nje ya nchi. Msishangae Bill gate kukataa kuanzisha tawi la microsoft Tanzania kwa uhaba wa skilled labour. Wengi mnafikiri kwenda shule na rundo la vyeti ndo kuelimika, thats an old...
  5. RAGNAR LOTH

    Mafuriko ya mabango ya wajane kwenye mikutano ya Magu inatupa picha gani?

    Swali kwenu wana MMU. Mafuriko ya mabango ya wajane kwenye mikutano ya Magu wakiomba misaada inatupa picha gani? Mbona sijawahi kuona mabango ya "wagane", ( wanaume waliofiwa na wake zao kunyanyua nao mabango ya kumuomba muheshimiwa misaada ya aina tofauti kama hawa?) Je ni kwamba Jamii...
  6. RAGNAR LOTH

    Wazee wa kujilipua kimaisha (risk takers) kwa style tofauti tukutane hapa!

    Vichaa / Wehu / Wasiojihurumia kama ambavyo tumezoea kuwaita ndio wanaoifanya hii dunia ikasogea mbele. Amini usiamini kama hujawahi kufanya jambo ambalo kila mtu wa pembeni yako akakuona unaenda kujimaliza / hutatoka mzima, bado hujaishi Joh, " You are still dwelling in your comfort zone"...
  7. RAGNAR LOTH

    Magufuli: Wakizuia bidhaa zetu kwao na sisi tuzuie za kwao siku hiyo hiyo

    Wakati wa hotuba ya Rais Magufuli mkoani Tanga amemuagiza waziri Mwijage kama kuna nchi inazuia Tanzania kuingiza bidhaa zake kwao na Tanzania inabidi izuie kupokea bidhaa kutoka hiyo nchi maana hawezi kuruhusu Tanzania ya upokeaji bidhaa za nje tu. “Sasa nataka kama wao wanaleta maziwa huku na...
  8. RAGNAR LOTH

    Kijana epuka ndoa na wanawake wenye kazi hizi

    Mwalimu : Wengi wenu mna dhana potofu kwamba ukioa mwalimu mpo in safe side. Hawa watu akili zao zimelala fofofo. Mtu anayeridhirika na ujira wa laki 3 kwa mwezi kwa kutoa sadaka siku zake 30 kwa mwezi ni wa kumuepuka. Hana changamoto mpya katika maisha. Akirudi kazini yuko exhausted kabisa...
  9. RAGNAR LOTH

    Kumsaidia maskini kwa kumpora tajiri ni uhujumu uchumi.

    Kwa nini tangu mwaka 2015 October, Tanzania imegeuka jehanamu kwa watu wenye vijipesa vyao.? ( wengi wao wafanyabiashara). Kila kukicha tunaona vibwanga ya kila aina, wa kufunga biashara kama kina Dangote, wa kuburuzwa mahakamani, wa kulipishwa fidia za malimbikizo ya kodi kama yule jamaa...
  10. RAGNAR LOTH

    Dhana ya vibamia na vijaruba.

    Niko katika mfululizo wa maada zenye kuondoa mkanganyiko ama myths zinazoharibu saikolojia ya vijana na kukosa kujiamini. Kama hukunisoma kwenye maada yangu iliopita ni vyema ukanisoma ili twende sawa. Vijana wengi hasa teenagers na 20's wanakosa kjiamini kutokana na maumbile ya nyeti zao. Hii...
  11. RAGNAR LOTH

    Wanawake mtatuvunja viuno kwa hili.

    Kumezuka wimbi la hadithi nyingi za kutokuridhishana kingono wake kwa waume miaka ya hivi karibuni. Nimeona kushirikishane ujuzi juu ya hii dhana potofu na wana MMU. Kwanza kabisa tujue jambo moja kwamba aina yeyote ile ya jambo likiwemo kuridhika (satisfaction) kibaolojia na kisaikolojia mzizi...
  12. RAGNAR LOTH

    Mwanamke kakimbia na akili yangu

    Wana MMU leo mtashangaa sijaja nimelewa sana humu ndani, niko mtaratibu sana tofauti na siku nyingine. Ningelewa nadhani humu leo pasingekalika. (Nilikua na mke) sijui kama bado ninae. Tangu siku naiacha familia yangu, kazi, heshima yangu mtaani na kazini, na ndani ya nyumba vimeporomoka kama...
  13. RAGNAR LOTH

    Swali la haja kwenu wana MMU

    Dhana ya nzi kufia kwenye kidonda ni Utaahira/ Mapenzi / Uhaba wa vidume, wanawake/ Uvumilivu / Ushika dini kupindukia / Kutojiamini ama ni nini? Ushawahi kukutana na familia/ uhusiano uliogubikwa na ugomvi na migogoro isiyoisha? Yumkini mwanamume ndiye chanzo ama mwanamke ndiye chanzo cha...
  14. RAGNAR LOTH

    Je ushawahi kukutana na vidume kama hawa nyie wadada?

    Ndoa nyini zimekua na misukosuko lukuki kwa sababu ya kukosea tu hatua ya awali ya kufanya uchanguzi sahihi wa mwenza. Lakini pia haina maana kidume uliye na sifa zifuatazo huna haki ya kuoa, jirekebishe usiwe pasua kichwa kwa mwenzi wako mkishafungana hizo pingu. 1) Mwanaume mwenye kisirani na...
  15. RAGNAR LOTH

    Tumefanyiana wake zetu live live ndani ya chumba kimoja

    Kiufupi mimi na best friend wangu ni watu wazima tuko na familia zetu. Nilitangulia kuoa yeye akawa best man wangu na mimi kulipa fadhila nikawa best man kwenye harusi yake baadae. Mimi na rafiki yangu tunashirikiana mambo mengi sana hasa ya kibiashara. Miradi mingi tunafanya pamoja. Takribani...
  16. RAGNAR LOTH

    Mrejesho : Kanikataa kwa sababu ya ufupi...!!

    Ni hayo tu usha
  17. RAGNAR LOTH

    Kanikataa kwa sababu ya Ufupi...!!

    Habari za majukumu wanajukwaa
  18. RAGNAR LOTH

    Kauli ipi inakupa picha halisi ya mahali husika..??

    Katika either ushuani na mie
  19. RAGNAR LOTH

    Kauli ipi inakupa picha halisi..??

    Katika makeither ushuani na mie
Back
Top Bottom