Kauli ipi inakupa picha halisi ya mahali husika..??

Wakati wa kuitwa uje ule kama siku hiyo kuna mboga za nyama!

Mama:...Fulani fulani..
Wewe: Naam
Mama: Shauri yako.
Wewe: ........
 
Back
Top Bottom