ratio ya 1:100..... yani hapo nilivokuelewa ni kwamba kama hiyo ndio ratio ya kuwapata halafu uliwapata saba maanake kwa mwaka wewe ulitongoza wanawake 700 ambayo ni sawa na wanawake 58 kwa mwezi na hii ni sawa na wanawake 14 kwa wiki ikimaanisha wanawake 2 kwa siku!!! Kwa hiyo calculation inamaanisha ulikua ukishatongoza wanawake wawili kwa siku wenyewe wakubali au wakatae wewe kesho uko na wengine wawili wapyaaaa.... hahahahahahaaaa kama ni kweli respeeect mkuu!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.